Rais Magufuli, jitokeze hadharani kupinga kufananishwa na Yesu Kristo!

Wanajaribu kutusahaulisha ishu ya mbowe
 

Nyie si kila siku mnasema freedom of speech sasa JPM mnamtaka aje aseme nini? BTW wewe huwezi kumlazimisha JPM au mtu yoyote kusema chochote kile kwa sababu huna mamlaka ya kumlazimisha mtu yoyote yule kusema chochote. Kama unafikiri/kuona Mbunge Kangi Lugola amefanya makosa nenda Polisi, sheria za nchi zipo.
 
Na wewe unakurupuka tu bila kuelewa kinachoongelewa eti unamtetea mwana ccm mwenzako, Siyo kwamba Rais kaitwa Yesu bali kafananishwa na Yesu! Hiyo ni dhihaka kwa Yesu na kwa wakristu,hakuna binadamu anayeweza kufananishwa na Yesu, hayupo na hatakuwepo! Biblia inasema Yesu ni Mungu aliyechukua jukumu la ukombozi wa wanadamu, ndivyo Wakristu wanavyoamini.
 
Malaika Jiwe ndiyo anapenda masifa ya hivyo!
Hapo Kangi amefanya uwekezaji ili teuzi zisimpite mbali
 
yesu anahutubia jiwe
 
Hawajaombwa kuabudiwa na wala hawataki kutukuzwa
Hoja sio kufananisha hoja hapa ni pale watu wanapoanza kukutukuza na hawakemewi
Binadamu hawezi kuchukua sifa za Yesu Kristo
Hilo haliwezekani na ni lazima likemewe
Kwani magufuli kaomba kuabudiwa au kutukuzwa?
 
Yeye aendelee kuwa Yesu, si muda mrefu Yesu halisi atajulikana.
 
Kwa habari ya hawa ni tofauti na hili tunalozungumzia,hawa wamefanya kazi ya kueneza injili kwa njia ya movi,na pia wameshajitokeza hadharani wakasema wao ni wanadamu wa kawaida na watu wasiwaabudu kama Yesu Kristo,wao wameshanawa mikono.
Sasa hapo wakushutumiwa Ni huyo kangi sio useme magufuli ajitokeze aombe msamaha kwani yeye kajiita MUNGU au yesu? Wakuambiwa akanushe Ni kangi alietamka sio magufuli
 
Hujawahi Omba hivyo
Ila wewe msakatonge ndio unamfananisha na Mungu
Tatizo tumbo lako mkuu
Wewe Ni mjinga na mpumbavu unasema hajawa omba hivyo halafu unasema Mimi namfananisha na MUNGU una tofauti gani wewe na kangi?
 
Wewe Ni mjinga na mpumbavu unasema hajawa omba hivyo halafu unasema Mimi namfananisha na MUNGU una tofauti gani wewe na kangi?
Two in One
Mjinga halafu tena Mpumbavu mzee hiyo haiwezekani
Chagua moja haiwezekani wakati huo huo ukawa mjinga huku ni mpumbavu
 
Tulia dawa ikuingie japo chungu
 
Wanajaribu kufunika aibu ya mbowe kulewa chakari na kuumia kisigino [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Mimi Sio mwanachama wa Chadema na sina chama,namshauri Rais wetu, asijisahau akashawishiwa kumkufuru Mungu.Hili ni kwa faida yake na taifa letu kwa ujumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…