Rais Magufuli, jitokeze hadharani kupinga kufananishwa na Yesu Kristo!

Sasa kila kitu asimame apinge hadharani! Si ujiongeze tu! Hizo sio tuhuma ni mtu kaongea tu! Kila siku mnamuita majina mapya atasimama na kupinga vingapi?
Jiongeze Magufuli sio Bwana Yesu.
Mwisho hili jambo ninyi ndo mmelikuza na kuling'ang'ania kama watoto wadogo.Mkiamua muendelee kulishikilia au mkiamua mliache!
Wanajaribu kutusahaulisha ishu ya mbowe
 
Hapo vipi!

Binafsi nimemsikiliza Kangi Lugola akiwa anamsifia Rais Magufuli, ila kwa hili la kumfananisha Rais Magufuli kama Yesu Kristo amevuka mipaka kabisa, sijajua kinachomfanya ajisahau kiasi hicho nini.

Mheshimiwa Rais, sipingi watanzanaia kukusifia katika mambo uliyoyafanya ila wakusifie katika viwango vya kibiinadamu ila kwa hili la Kangi Lugola, kukufananisha na Yesu kristo nakushauri hizo sifa usipokee.

Kumbuka maandiko yanasema Mungu hafananishi na kitu chochote,hivyo ukikubali kufananisha na Yesu Kristo utakuwa umetenda zambi kubwa kufuru.

Kwanini nakuambia usimame na upinge hadharani,kwanza kukaa kimya maana yake umekubaliana na hayo madai,sasa ili kunawa mikono yako na kumuachia Kangi mzigo wake, Jitokeze pinga na kukataa sifa hizo.

Mheshimiwa Rais, kumbuka juzi tulitoka kwenye maombi ya kitaifa na ni kweli Mungu ametenda ila sasa Shetani anamtumia Kangi Lugola kuleta laana katika taifa hili.

Naomba umuonye na atumie akili,busara na hekima wakati anaanza kukusifia.

Nyie si kila siku mnasema freedom of speech sasa JPM mnamtaka aje aseme nini? BTW wewe huwezi kumlazimisha JPM au mtu yoyote kusema chochote kile kwa sababu huna mamlaka ya kumlazimisha mtu yoyote yule kusema chochote. Kama unafikiri/kuona Mbunge Kangi Lugola amefanya makosa nenda Polisi, sheria za nchi zipo.
 
Kwa hiyo ndio mmevalia njuga huu upuuzi? Nani alisema JPM ni Yesu? Au kiswahili hamjui nyie vibaraka wa Mbowe anayeshinda Chako ni Chako.
Lugola alisema JPM huwa anatatua kero za wananchi papo kwa papo kama Yesu alivyokuwa anafanya. Mfano akienda sehemu kuna shida ya maji au barabara papo kwa papo kero inatatuliwa.
Sasa leo mnabadili maneno ili mpate kick za kisiasa!
Na wewe unakurupuka tu bila kuelewa kinachoongelewa eti unamtetea mwana ccm mwenzako, Siyo kwamba Rais kaitwa Yesu bali kafananishwa na Yesu! Hiyo ni dhihaka kwa Yesu na kwa wakristu,hakuna binadamu anayeweza kufananishwa na Yesu, hayupo na hatakuwepo! Biblia inasema Yesu ni Mungu aliyechukua jukumu la ukombozi wa wanadamu, ndivyo Wakristu wanavyoamini.
 
Hapo vipi!

Binafsi nimemsikiliza Kangi Lugola akiwa anamsifia Rais Magufuli, ila kwa hili la kumfananisha Rais Magufuli kama Yesu Kristo amevuka mipaka kabisa, sijajua kinachomfanya ajisahau kiasi hicho nini.

Mheshimiwa Rais, sipingi watanzanaia kukusifia katika mambo uliyoyafanya ila wakusifie katika viwango vya kibiinadamu ila kwa hili la Kangi Lugola, kukufananisha na Yesu kristo nakushauri hizo sifa usipokee.

Kumbuka maandiko yanasema Mungu hafananishi na kitu chochote,hivyo ukikubali kufananisha na Yesu Kristo utakuwa umetenda zambi kubwa kufuru.

Kwanini nakuambia usimame na upinge hadharani,kwanza kukaa kimya maana yake umekubaliana na hayo madai,sasa ili kunawa mikono yako na kumuachia Kangi mzigo wake, Jitokeze pinga na kukataa sifa hizo.

Mheshimiwa Rais, kumbuka juzi tulitoka kwenye maombi ya kitaifa na ni kweli Mungu ametenda ila sasa Shetani anamtumia Kangi Lugola kuleta laana katika taifa hili.

Naomba umuonye na atumie akili,busara na hekima wakati anaanza kukusifia.
Malaika Jiwe ndiyo anapenda masifa ya hivyo!
Hapo Kangi amefanya uwekezaji ili teuzi zisimpite mbali
 
Nyie si kila siku mnasema freedom of speech sasa JPM mnamtaka aje aseme nini? BTW wewe huwezi kumlazimisha JPM au mtu yoyote kusema chochote kile kwa sababu huna mamlaka ya kumlazimisha mtu yoyote yule kusema chochote. Kama unafikiri/kuona Mbunge Kangi Lugola amefanya makosa nenda Polisi, sheria za nchi zipo.
yesu anahutubia jiwe
 
Hawajaombwa kuabudiwa na wala hawataki kutukuzwa
Hoja sio kufananisha hoja hapa ni pale watu wanapoanza kukutukuza na hawakemewi
Binadamu hawezi kuchukua sifa za Yesu Kristo
Hilo haliwezekani na ni lazima likemewe
Kwani magufuli kaomba kuabudiwa au kutukuzwa?
 
Sasa kila kitu asimame apinge hadharani! Si ujiongeze tu! Hizo sio tuhuma ni mtu kaongea tu! Kila siku mnamuita majina mapya atasimama na kupinga vingapi?
Jiongeze Magufuli sio Bwana Yesu.
Mwisho hili jambo ninyi ndo mmelikuza na kuling'ang'ania kama watoto wadogo.Mkiamua muendelee kulishikilia au mkiamua mliache!
Yeye aendelee kuwa Yesu, si muda mrefu Yesu halisi atajulikana.
 
Kwa habari ya hawa ni tofauti na hili tunalozungumzia,hawa wamefanya kazi ya kueneza injili kwa njia ya movi,na pia wameshajitokeza hadharani wakasema wao ni wanadamu wa kawaida na watu wasiwaabudu kama Yesu Kristo,wao wameshanawa mikono.
Sasa hapo wakushutumiwa Ni huyo kangi sio useme magufuli ajitokeze aombe msamaha kwani yeye kajiita MUNGU au yesu? Wakuambiwa akanushe Ni kangi alietamka sio magufuli
 
Hujawahi Omba hivyo
Ila wewe msakatonge ndio unamfananisha na Mungu
Tatizo tumbo lako mkuu
Wewe Ni mjinga na mpumbavu unasema hajawa omba hivyo halafu unasema Mimi namfananisha na MUNGU una tofauti gani wewe na kangi?
 
Two in One
Mjinga halafu tena Mpumbavu mzee hiyo haiwezekani
Chagua moja haiwezekani wakati huo huo ukawa mjinga huku ni mpumbavu
 
Tulia dawa ikuingie japo chungu
Kwa hiyo ndio mmevalia njuga huu upuuzi? Nani alisema JPM ni Yesu? Au kiswahili hamjui nyie vibaraka wa Mbowe anayeshinda Chako ni Chako.
Lugola alisema JPM huwa anatatua kero za wananchi papo kwa papo kama Yesu alivyokuwa anafanya. Mfano akienda sehemu kuna shida ya maji au barabara papo kwa papo kero inatatuliwa.
Sasa leo mnabadili maneno ili mpate kick za kisiasa!
 
Wanajaribu kufunika aibu ya mbowe kulewa chakari na kuumia kisigino [emoji23][emoji1787][emoji2960]
Mimi Sio mwanachama wa Chadema na sina chama,namshauri Rais wetu, asijisahau akashawishiwa kumkufuru Mungu.Hili ni kwa faida yake na taifa letu kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom