dikteta2020
JF-Expert Member
- Aug 14, 2018
- 595
- 3,991
Tunaweza kuneneana uongo lakini siyo wa kiwango hiki. Kama kweli waziri wako alikujibu hivyo kama unavyosema hapa basi huwa hufuatilii mambo kwa undani.
Na kama ulijua hili ila ukaamua tu kuwaacha wanakawe wateseke kwa sababu tu unamchukia muwakilishi wao basi machozi ya watu kama walilia yatarudi kwako.
Sasa basi, kuepusha dhambi, na kwakuwa jambo hili liligusa moja kwa moja maisha ya watu, ni vyema ukaomba radhi ili roho yako iwe nyepesi.
Mbunge anasema jambo ambalo linaathiri maisha ya watu kuwa kaliongea mara 15 bila utekelezaji. Je, ni chuki? Na kama ni chuki, tunaleteana chuki za kisiasa hadi kufikia hatua ya kuangamiza maisha ya watu? Kufanya watu wateseke?
Haya nimekuunganishia video ili uone kama utaamua kuomba radhi haya, maana jambo hili liliathiri maisha ya watu tena mara kwa mara.