Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, kama kweli ni mcha Mungu basi muombe radhi Halima Mdee na watu wa Kawe kwa uliyosema hadharani maana uligusa maisha ya watu

Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, kama kweli ni mcha Mungu basi muombe radhi Halima Mdee na watu wa Kawe kwa uliyosema hadharani maana uligusa maisha ya watu

Hii picha ya watoto wako darasani wamekalia matofali yaliyo majini inasikitisha sana. Chama kilichotawala miaka yote bila kuepusha umasikini wa kiwango hiki kinataka miaka mingine mitano ili iweje?

Rais Magufuli ni mnafiki na Gwajima ni mtu anayetukana dini za watu wengine. Hatuwataki hata kidogo. No to Magufuli, No to Gwajima. Yes to Mdee.

Kawe tuendelee na Mbunge wetu kijana shujaa Halima Mdee. Ulaaniwe Jiwe kwa kumtesa mbunge wetu kwa jela zako na kwa askari wako kumpiga.
 
Ekewa na ufikiri vizuri juu ya tamko la Mh Magufuli.
Kupayuka bungeni kila mwenye mdomo anaweza, hata asiye na akili.

LOBBYING, lobbying, lobbying.
Elewa hilo.

Halima hajui kitu lobbying, miaka yote kumi hajawahi ku lobby miradi kwa ajili ya wana Kawe.
Muda wake anautumia kuandama na kutiwa mahabusu.

Hana muda wa ku lobby.
Vitu haviji kwa kupayuka bungeni.
Una maana Bunge la Jamhuri ya Muungano ni kijiwe cha wapayukaji? Huna adabu kabisa
 
Ekewa na ufikiri vizuri juu ya tamko la Mh Magufuli.
Kupayuka bungeni kila mwenye mdomo anaweza, hata asiye na akili.

LOBBYING, lobbying, lobbying.
Elewa hilo.

Halima hajui kitu lobbying, miaka yote kumi hajawahi ku lobby miradi kwa ajili ya wana Kawe.
Muda wake anautumia kuandama na kutiwa mahabusu.

Hana muda wa ku lobby.
Vitu haviji kwa kupayuka bungeni.
Jidula . Budget imetengwa mpaka lobbying ?! Kama ni hivyo akina Halima wanalaumiwa bure. Kwanini mpaka lobbying ?!
 
Mbunge hajanisumbua mimi wala mawaziri wangu. Tunamsikia mbunge akiyasema huko bungeni na kuomba majibu kwa waziri.

Je waziri kamdanganya JPM? Hapo Hapo kumbuka JPM katuambia mkichagua mpinzani inakula kwenu na akatoa mfano wa Bunda. Naona labda Kawe nao walikuwa wana adhabu na sasa ili kutimiza nia yake ya kumpaisha Gwajiboy anawadanganya watu wa Kawe ili wamuone Halima hafai.

Katuona mafala anasema maendeleo hayana vyama hapo hapo hataki kusikia wabunge wa upinzani.
Badala ya kumpaisha Gwajima kajidatisha mwenyewe
 
Tunaweza kuneneana uongo lakini siyo wa kiwango hiki. Kama kweli waziri wako alikujibu hivyo kama unavyosema hapa basi huwa hufuatilii mambo kwa undani.

Na kama ulijua hili ila ukaamua tu kuwaacha wanakawe wateseke kwa sababu tu unamchukia muwakilishi wao basi machozi ya watu kama walilia yatarudi kwako.

Sasa basi, kuepusha dhambi, na kwakuwa jambo hili liligusa moja kwa moja maisha ya watu, ni vyema ukaomba radhi ili roho yako iwe nyepesi.

Mbunge anasema jambo ambalo linaathiri maisha ya watu kuwa kaliongea mara 15 bila utekelezaji. Je, ni chuki? Na kama ni chuki, tunaleteana chuki za kisiasa hadi kufikia hatua ya kuangamiza maisha ya watu? Kufanya watu wateseke?

Haya nimekuunganishia video ili uone kama utaamua kuomba radhi haya, maana jambo hili liliathiri maisha ya watu tena mara kwa mara.

Kuwa na kiongozi mkuu wa nchi ambaye anaongea kama masanja mkandamizaji ni hatari sana kwa usalama wa nchi.
 
... anatatizo la memory huenda hata 1mb haifiki
Mleta mada umefanya vizuri sana kuambatanisha clip yenye maelezo ya Ndugu Halima akiwa bungeni. Nimeisikiliza mara tano CLIP hii kwa nia ya kuelewa ni namna gani Ndugu Halima alikuwa anaeleza kero na kutoa mapendekezo sahihi ya kutatua kero hizo.

Sehemu zote mbili Ndugu Halima alizosikika kwenye clip hii alifanikiwa sana kuelezea kero za jimbo la Kawe hasa miundo mbinu ya barabara na suala la kero ya mafuriko. Bahati mbaya sana hakugusia kabisa namna gani yeye kama mbunge atashirikiana ama na wananchi ama serikali kwa upande wa wizara husika kutafuta suluhisho na kutekeleza kwa vitendo utatuzi wa kero hizo. Kilichosikika kutoka kwa Ndugu Halima sana sana ni kulalamika kama mwananchi wa kawaida anayeishi jimbo la Kawe. Maswali aliyokuwa anazungumza/uliza bungeni yalitakiwa kuulizwa na mwananchi wa kawaida wa Kawe. Maswali yale yalikuwa hayabebi uzito aliokuwa nao Ndugu Halima, ambaye alikuwa mbunge wa Kawe yaani mwakilishi wa wananchi wa jimbo la Kawe.

Kwanza, kwenye maelezo yake Ndugu Halima kwenye clip hii anazungumzia suala la fidia. Halima kama mbunge nilitegemea anajua kabisa suala la fidia linavyoathiri utekelezaji kwa haraka miradi mingi ya maendeleo. Kama kweli Ndugu Halima alikuwa na nia ya dhati kutatua kero hii, kutokana na suala la fidia, ningemuelewa kama angesema kuwa yeye binafsi ameshiriki kuwashawishi wananchi wa Kawe na wamekubali kuwa wako tayari kupokea nusu hata ya fidia kama malipo ya awali ili mradi uanze kutekelezwa na nusu nyingine wako tayari kupokea baada ya mradi kukamilishwa huku nusu hiyo ikiwa na ka-riba kadogo kakufidia " future value of money ". Sasa kwa mapendekezo haya, tayari Ndugu Halima angeonekana kweli ni mwakilishi na mtafuta suluhu za kero za Kawe na serikali isingekuwa na kisingizio chochote!

Pili, kwenye maelezo ya ndugu Halima yaliyo kwenye clip hii, anasikika pia akisema kuwa kuna suala la mchoro wa mtaro wa maji wa kuondoa mafuriko huko Kawe. Anadai mchoro huo uliandaliwa na TANROAD. Mwishoni mwa maelezo ya Ndugu Halima huko bungeni anasika akihoji eti, je. Mpango huo upo ama haupo! Na anaishia hapo tu! Hatoi suluhu kama haupo nini kifanyike, na kama upo ni nini kifanyike kuharakisha utekelezaji wa mpango huo! Haya ndiyo mambo tunayotaka kusikia kutoka mwakilishi wa kweli wa wananchi wa Kawe ama majimbo mengine!

Haya yote yanaonyesha Ndugu Halima alikuwa hashirikiani na wananchi anao wawakilisha katika vikao halila vya jimbo la Kawe ama anashirikiana nao lakini alikuwa hawezi kuweka ajenda zinazoweza kutoa mapendekezo ya suluhu za kero kutoka kwa wananchi wenyewe. Nina imani Ndugu Halima agewapa nafasi wanaKawe ya kutoa maoni kwakwe wanaovyoona inafaa kutatua kero hizo na yeye kuchambua na kuyapanga vizuri maoni hayo hasingeweza kushindwa kupata njia bora za kutatua kero hizo kwa kushirikisha wananchi na serikali.

Kwa kifupi Ndugu Halima ameonyesha udhaifu mkubwa sana katika kutimiza majukumu ya uwakilishi wa wananchi wanoishi jimbo la Kawe. Kwa hiyo, ni muda muafaka wa Ndugu Halima kuwapisha wana Kawe wengine wafanye kazi hiyo ya uwakilishi aliyoifanya kwa miaka kumi. Tarehe 28/10/2020, kama kweli Ndugu Halima anawatakia mema wananchi wanaoishi jimbo la Kawe, anatakiwa kumpigia kura ndugu Gwajima ili awe mwakilikishi wa jimbo la Kawe. Ndugu Halima ataonyesha uugwana mkubwa sana kwa wananchi wa jimbo la Kawe akitangaza rasmi kumuunga mkono Ndugu Gwajima kuwa mbunge wa Kawe kabla ya kufika hiyo tarehe 28/10/2020.

Yangu ni hayo.

Karibu kwa hoja juu ya suala hili.
 
Nchi ya hovyo sana hii...

Maendeleo ya nchi hayana neno "LOBBYING",kama ni hivyo kuna sehem zitakua Dubai na zingine jehanam..

Yaani maendeleo ya nchi yanategemea utashi na maamuzi ya mtu na sio sheria za nchi na economic output ya eneo husika?

Ndio maana tunataka katiba mpya kama ya Kenya,kuna formula maalumu kila eneo lipate maendeleo kwendana na output yake na formula husika

Hakuna upumbavu eti wa mtu anaeitwa Magufuli akiamka kichwa chake kimemtuma NO,nasi ni NO as if hela zinatoka mfukoni mwake mwenyewe binafsi....

Nchi hii inahitaji KATIBA inayo guarantee yote haya na sio "LOBBYING" unayosemea hapa!
Realpolitik!
 
Ekewa na ufikiri vizuri juu ya tamko la Mh Magufuli.
Kupayuka bungeni kila mwenye mdomo anaweza, hata asiye na akili.

LOBBYING, lobbying, lobbying.
Elewa hilo.

Halima hajui kitu lobbying, miaka yote kumi hajawahi ku lobby miradi kwa ajili ya wana Kawe.
Muda wake anautumia kuandama na kutiwa mahabusu.

Hana muda wa ku lobby.
Vitu haviji kwa kupayuka bungeni.

Stupid comment yaani bungeni kupayuka na hivi lobbying ipi unyoongea wewe kama Rais amesema kabisa akiwa bariadi kuwa hakujenga barabara ya lami lami bunda kwa sababu wananchi walichagua mbunge wa upinzani as if kodi ya wananchi ni pesa zake za mfukoni. Ni wazi kwamba kawe ni jimbo la upinzani pia ndiyo sababu Rais hakutekeleza miradi ya maendeleo. Anataka kutupangia wananchi muwakilishi wetu wa jimbo hilo haliwezekani sisi tutachagua tunayemtaka
 
NAKUBALIANA NA WEWE KAMA KONGWA KWA NDUGAI PAKO POA SANA LOBBYING YAKE NI YA KIMATAIFA
 
Umenikumbusha chuoni, hii ni course kabisa inaitwa adivocacy and lobbying, hata upige kelele kiasi gani wananchi wanachotaka kuona ni impact yq hizo kelelem
Mkuu humu jamvini wengi ni vilaza tu!
Hawaelewi haswa demokrasia inataka nini na limitations zake.
Bungeni ni mahali pa ku let off political steam, nothing else.
Mtu kama Halima akitegemea atapayuka tu na kitu kitatekelezwa , huyo basi hajui yuko pale kufanya nini.
 
Stupid comment yaani bungeni kupayuka na hivi lobbying ipi unyoongea wewe kama Rais amesema kabisa akiwa bariadi kuwa hakujenga barabara ya lami lami bunda kwa sababu wananchi walichagua mbunge wa upinzani as if kodi ya wananchi ni pesa zake za mfukoni. Ni wazi kwamba kawe ni jimbo la upinzani pia ndiyo sababu Rais hakutekeleza miradi ya maendeleo. Anataka kutupangia wananchi muwakilishi wetu wa jimbo hilo haliwezekani sisi tutachagua tunayemtaka
Stupidity still rests with fools who shout themslves hoarse, then go to sleep expecting that somebody heard them in the first place!
 
Ekewa na ufikiri vizuri juu ya tamko la Mh Magufuli.
Kupayuka bungeni kila mwenye mdomo anaweza, hata asiye na akili.

LOBBYING, lobbying, lobbying.
Elewa hilo.

Halima hajui kitu lobbying, miaka yote kumi hajawahi ku lobby miradi kwa ajili ya wana Kawe.
Muda wake anautumia kuandama na kutiwa mahabusu.

Hana muda wa ku lobby.
Vitu haviji kwa kupayuka bungeni.
Hivi mkuu hiyo lobbying ndio utaratibu wa ufanyaji kazi?
 
Back
Top Bottom