Uchaguzi 2020Rais Magufuli, kama kweli ni mcha Mungu basi muombe radhi Halima Mdee na watu wa Kawe kwa uliyosema hadharani maana uligusa maisha ya watu
Tunaweza kuneneana uongo lakini siyo wa kiwango hiki. Kama kweli waziri wako alikujibu hivyo kama unavyosema hapa basi huwa hufuatilii mambo kwa undani.
Na kama ulijua hili ila ukaamua tu kuwaacha wanakawe wateseke kwa sababu tu unamchukia muwakilishi wao basi machozi ya watu kama walilia yatarudi kwako.
Sasa basi, kuepusha dhambi, na kwakuwa jambo hili liligusa moja kwa moja maisha ya watu, ni vyema ukaomba radhi ili roho yako iwe nyepesi.
Mbunge anasema jambo ambalo linaathiri maisha ya watu kuwa kaliongea mara 15 bila utekelezaji. Je, ni chuki? Na kama ni chuki, tunaleteana chuki za kisiasa hadi kufikia hatua ya kuangamiza maisha ya watu? Kufanya watu wateseke?
Haya nimekuunganishia video ili uone kama utaamua kuomba radhi haya, maana jambo hili liliathiri maisha ya watu tena mara kwa mara.
Huyu Magufuli Mwalimu wa chemistry ni mbumbumbu sana lakini yeye anajiona ana akili sana. Memory yake ndogo sana halafu anadanganyika kirahisi na waliomzunguka.
Ulishaenda Ilala ukaangalia jinsi kulivyo? Kwahiyo Zungu naye alikuwa mahabusu? Rais Magufuli anatumia jukwaa kudanganya waziwazi kwenye maeneo ambayo yalikuwa yamekaliwa na upinzani. Mbaya zaidi uongo wake ni mbaya sana!
Mbunge hajanisumbua mimi wala mawaziri wangu. Tunamsikia mbunge akiyasema huko bungeni na kuomba majibu kwa waziri.
Je waziri kamdanganya JPM? Hapo Hapo kumbuka JPM katuambia mkichagua mpinzani inakula kwenu na akatoa mfano wa Bunda. Naona labda Kawe nao walikuwa wana adhabu na sasa ili kutimiza nia yake ya kumpaisha Gwajiboy anawadanganya watu wa Kawe ili wamuone Halima hafai.
Katuona mafala anasema maendeleo hayana vyama hapo hapo hataki kusikia wabunge wa upinzani.
Magu mara zote kwenye kampeini zake anasema waziwazi kuwa hakuleta maendeleo kwenye majimbo yaliyochagua upinzani.
Na bado anawatishia wapiga kura kuwa endapo watachagua tena wapinzani wasahau maendeleo kabisa endapo atashinda katika uchaguzi huu.
Cha ajabu mtu huyo huyo anahubiri kuwa maendeleo hayana chama,yaani ni vigumu kumwelewa mtu Hutu.