Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, kama kweli ni mcha Mungu basi muombe radhi Halima Mdee na watu wa Kawe kwa uliyosema hadharani maana uligusa maisha ya watu

Wengi wenu ni watoto wa juzi, hamjui kuwa hii ndio part ya democracy.
Someni mmalize masomo kwanza.
Usitumie hasira mkuu na kujiona wewe mkubwa sana, kila mbunge akifanya hiyo lobiyying unadhani kila mmoja atapata?
Kiufupi ni kuwa awamu ya tano ilitelekeza majimbo ya upizani ili wapinzani wakose sera
 
Usitumie hasira mkuu na kujiona wewe mkubwa sana, kila mbunge akifanya hiyo lobiyying unadhani kila mmoja atapata?
Kiufupi ni kuwa awamu ya tano ilitelekeza majimbo ya upizani ili wapinzani wakose sera
Kitu usichoelewa ni usiku wa giza.
 
Maneno utitiri hoja 0.0001%.
Kama kuna majuha na mabwe*g CCM basi wewe ni numero Waheed!!!
Kwanini hamtaki kukubali kuwa Rais huyu ni mbaguzi, mwovu na Dikteta?
Unapodanganya watu kuwa MAENDELEO hayana CHAMA lakini wakti huohuo unasema CHAGUENI CCM MPATE MAENDELEO YA KWELI na MKICHAGUA UPINZANI IMEKULA KWENU what do you really mean as the Head of state??
Do you think all Tanzanians are fools that you can keep cheating on them as babies? This time around NO WAY!!
CCM MUST GO TO HELL!!
 
Kuwa karibu na mteja wako!
Judula. Majimbo yaliokuwa chini ya Ccm mbona ndiyo yana hali mbaya ya huduma za jamii !!. Kwetu Rorya ni mfululizo awamu sijui nne uwakilishi no wa Ccm. Lakini ukifika bora na majimbo jirani yanayoongozwa na wapinzani
 
Ulitaka aevu pichu? Acha uzwazwa dogo
 
Sio wajibu wake,

Mkubwa hakosei[emoji21]

Sent using Jamii Forums mobile app by My phone

[/url] Eti nabakia Africa. [/url]
 
Halima kakaa mianga mingi hajui lobbying anaishia kutoka nje bungeni. Mwaka huu atatoka Kawe ukiangalia viashiria. Kaa chini ujipange kazi za kufanya
 
Hata umewekewa video unabisha?!! Ama kweli Ujinga ni ujinga tu[emoji41]
 
Ha ha ha haaa!!! Mtaniiiiii ! Sindano imekuingia barabara, pole sana. Mambo haya hayahitaji hamaki. Unatakiwa kutulizana kisha unakuja na hoja za kututoa kwenye reli wale tunaoona mambo mengi kwa kijicho la ziada.
 
KAMA INGEKUA MAJIMBO YOTE YA CCM YANA MAENDELEO MAZURI, BASI NINGEAMINI KAULI ZAKE ILA KWASASA ASITUDANGANYE ETI SEHEMU FLANI HAIJAENDELEA KISA IMECHAGUA UPINZANI.
MBONA MAJIMBO YA MKOA WA DODOMA YOTE YANATAWALIWA NA CCM LAKINI TUNASHUHUDIA JIMBO LA NDUGAI WANAFUNZI BADO WANAKAA CHINI NA HAWANA MADARASA YA KUSOMEA?
 
Hkuna mnasiasa mkweli, hilo ujue.
Kilamtu kama muwamba ngoma, huvutia kwake.
 
Ha ha ha haaa!!! Mtaniiiiii ! Sindano imekuingia barabara, pole sana. Mambo haya hayahitaji hamaki. Unatakiwa kutulizana kisha unakuja na hoja za kututoa kwenye reli wale tunaoona mambo mengi kwa kijicho la ziada.
Huna lolote ewe bweg* wa Lumumba..!!
 
Hopeless kabisa, huoni Magufuli alivyo muongo?
 
Rais Magufuli hawezi kuomba msamaha mtu anayeshiriki haki sawa chumbani
 
Hata Temeke watu wanakufa mafuriko. Barabara za mitaaa mbovu mno. Asituletee Siasa za chooni huyu yaani maji taka. Kwanza amekuwa Waziri wa ujenzi na moundombimi miaka lukuki na Rais miaka 5 lakini mafuriko DSM ni aibu ya dunia. Yaani hapo ndiyo ninapochukia kabisa watu waongo wanaojua kulitaja jina la Mungu baba bure
 

Hiyo ni Kentucky USA.
Nako kuna mafuriko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…