Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, kama kweli ni mcha Mungu basi muombe radhi Halima Mdee na watu wa Kawe kwa uliyosema hadharani maana uligusa maisha ya watu

Mcha Mungu ni mtu ambaye.anajari utu .ni mtu ambaye Hana visasi.ni mtu ambaye anamwabudu Mungu.ni mtu ambaye anamwogopa Mungu.ni mtu ambaye Hana ubaguzi ea kidini au wa tabaka lolote. Ni mtu ambaye uongo kwake ni mwiko .maana ukisema uongo asili yake ni shetani .ni mtu asiye na hasira za ovyo ovyo mni mtu anaye sikiliza.mfano Mfalme Daudi alisokiliza alipo onywa na nabii ali sikiliza na akabadilika. Kama JPM anayo hayo Basi ni mcha Mungu.
 
Ulishaenda Ilala ukaangalia jinsi kulivyo? Kwahiyo Zungu naye alikuwa mahabusu? Rais Magufuli anatumia jukwaa kudanganya waziwazi kwenye maeneo ambayo yalikuwa yamekaliwa na upinzani. Mbaya zaidi uongo wake ni mbaya sana!
Njia ya mwongo fupi. Aibu!
 
View attachment 1603107
Hiyo ni Kentucky USA.
Nako kuna mafuriko.
Hata kama. Sisi DSM tuna uwezo wa kujenga mitaro mikubwa ielekee babarini. Kama alivyobomolea Kimara basi na huku mjini abomoe nyumba hasa zile zilizojengwa kwenye mkondo wa maji. Si ndiyo anayethubutu huyo eti ehhh? Shida moja ni kinyongo kwa kuwa DSM ni mkoa wa upinzani. Kama mkristu kweli aondoe vinyongo kwa wote asiyowapenda hasa wachaga utafikiri walimuibia mke. Chuki, vinyongo na visasi. Habari ya haki na uhuru hapo nimeweka komeo mdomoni.
 
Mkuu hakuna logic katika argument yako kulinganisha na mada hii.
Tukirudi kwenye mada, bado Halima ni zigo.
Hajawatendea wana Kawe haki ya uwakilishi for 10 yrs.
 
Taira ww

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
View attachment 1603004
Hahaaaa😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Umeandika ushuzi. Magufuli alisema waliochagua upinzani wasahau maendeleo. Sasa lobbying unayoiongelea ni ya aina gani?
 
Serikali potovu sana hii inataka wabunge wafanye lobbying kupata maendeleo!?
 

Kilaza ni wewe mwenyewe na jopo lenu la maamuma wenye Phd za kukariri
 
Majimbo yote ya upinzani alikuwa akisema wazi ushauri yenu na mbunge wenu wa upinzani, sitoi hela.
 
Mpumbafu wewe kodi nilipe,maendeleo niletewe kwa kufanya lobbying.

Hatuhitaji hisani kupata maendeleo.
 
Huyu Magufuli Mwalimu wa chemistry ni mbumbumbu sana lakini yeye anajiona ana akili sana. Memory yake ndogo sana halafu anadanganyika kirahisi na waliomzunguka.
Sio mbumbumbu tu! Ni zwazwa, zuzu lisilo na chochote kichwani! Hopeless kabisa huyu brwza
 

sema ukweli kwamba wewe ni shabiki wa HALIMA BASI TU YAISHE
 
Marehemu Ruge Mutahaba (mungu amuweke mahala pema peponi) alitamka neno moja jepesi sana lakini lilikuwa na maana kubwa "ogopa mungu na teknolojia". Magufuri keshajisahau! Kwanza anasema uongo kuhusiana na miradi ya Barabara aliyotamka mdee bungeni, pili sina hakika kama atawalaumu wazungu anaowaita mabeberu kwa kutengeneza mfumo wa kisasa wa kutunza kumbukumbu unaothibitisha jinsi asivyo na kumbukumbu kiasi cha kuamua kudanganya wananchi mchana kweupe. Rai yangu tumsamehe kama binadamu lakini tarehe 28/10/2020 ndiyo iwe siku ya kumuadhibu kwenye kile kikaratasi kinachotunza siri ya mtu kwa lile alilonalo moyoni mwake
 
CCM kwisha habari yao
 
Una maana Bunge la Jamhuri ya Muungano ni kijiwe cha wapayukaji? Huna adabu kabisa
We punguani kweli! Sijawahi kuona bunge la ajabu kwenye history ya Nchi hii kama hili la Ndugai na Tulia. Ni Bunge lililopoteza maana kabisa ya kuisimamia serikali. Serikali ilikuwa na nguvu ya kufanya chochote inachotaka. Bunge la kipuuzi! Na tuache unafiki tumefikishwa hapa kwa sababu ya watu wawili tu Ndugai na Tulia waliokuwa wakicheza ala za mpiga zumari Magufuri aliyekuwa akiwapa maelekezo ya kupingana na kila jambo linaloletwa na baadhi ya wawakilishi wa wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…