Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, kama kweli ni mcha Mungu basi muombe radhi Halima Mdee na watu wa Kawe kwa uliyosema hadharani maana uligusa maisha ya watu

Watu mliochanganyikiwa mna matatizo makubwa kichwani.
Hatuchagui mbunge ambaye kitanda chake nusu ya ubunge wake ni mahabusu.
Mnampenda Halima kamsaidieni kulala mzungu nne mahabusu Na mumtie joto.
Siye tunataka mtu wa kutatua kero za barabara.
Tafadhali angalia ile Video halafu soma Tena maono yako
Of course wewe akili huna je macho yako hayaon?
 
Hiyo mkichaguwa upinzani ni excuse tu hawana hela na nia ya kuendeleza nchi hawa! Sasa tujiulize huko strongholds zao zina maendeleo gani? Upinzani kuchaguliwa kunakiukwa sheria gani? These guys are incapable and have no visions!
 
Kwakweli ingawa mie ni ccm,kwahili jpm kakosea na dawa tuungane wote kumrudisha halima bungeni iwe fundisho kwake
 
Ni ule utom boy, umemuathiri akili kabisa. Matajiri wenye watoto obay, masaki, mikocheni na mbezi b wanawanyatia halima na salama kwa kuwaharibu watoto wao wa kike subiri utasikia na kuona...
 
Bungeni ni kujadiri na kupitisha mipango ya serikali. Na kwa mfumo dhaifu wa bunge la Tanzania, uwezo wa kuhoji kwa nini maeneo fulani mipango ya maendeleo haitekelezwi, halina. Wapinzani wakihoji wananyamazishwi na kelele za wingi wa CCM. Mbunge wa upinzani ni yatima kwa mfumo wa bunge la Tanzania.
 
Na kodi zinapokusanywa nayo inatakiwa lobbying?
 
Ni ule utom boy, umemuathiri akili kabisa. Matajiri wenye watoto obay, masaki, mikocheni na mbezi b wanawanyatia halima na salama kwa kuwaharibu watoto wao wa kike subiri utasikia na kuona...
Du....lisemwalo lipo!
 
Na kodi zinapokusanywa nayo inatakiwa lobbying?
Halima kashindwa kuipata hiyo kodi,.........miaka 10 sasa!
Halima hawezi kitu.......kuandamana na kuwekwa selo hakujatupatia barabara au kutatua kero zetu.
 
Mbinguni ni mbali sana. Mungu atusaidie maana tunavunja amri zake waziwazi (usimshuhudie Jirani yako uwongo) tena baada ya mkutano kufunguliwa kwa maombi.
 
Ushauri wangu ni kwa Sugu,kwa vile mgombea urais wa ccm aliomba Sugu amsugue,naona wakati ndio huu wa kusuguliwa kwa jiwe
 
Dawa ni kumrudisha Halima na Rais awe Tundu Lissu,mchezo uishe.
Kawe itakuwa Manhattan
Ni kweli...ila Halima hawezi kushinda....Lissu naye atabwagwa vibaya Sana na mno...
 
Acha ujinga huo uongo wa kishamba ndiyo umewafanya watu kuichukia CCM Halima mdee siyo mbunge kilaza akiwa Bungeni huongea kero zote bila kuchuja na barabara zote mpya zilizojengwa kwenye jimbo la kawe akiwa mbunge amezisemea Bungeni, kikwazo kikuu kwa Halima mdee ni CCM hasa Meya wa Kinondoni ambaye ni rafiki mkubwa wa Bashite pamoja na mkurugenziccm wa jiji hao ndiyo walikwaza makusudi na pia kuzuia kutangaza mazuri ya Halima mdee, kazi ya mbunge ni kutoa taarifa na kazi ya utekelezaji ni watendaji wa CCM na hapo ndipo kuna hujuma nyingi
 
Katiba ya Tanzania hairuhusu lobbying
Auote!
Lobbying ndio. Demokrasia yenyewe.
1.Unapayuka bungeni
2. Unapata ahadi ya utekelezaji.
3.Unafuatilia kwa karibu vyombo vya utekelezaji na aliyeahidi bungeni.

Kuishia step no 1 ni kwa novices kama Halima, anapayuka bungeni bila ufuatiliaji.
Yeye anaishia kuandamana kwa mambo yasiyo wahusu wana Kawe halafu anaishia selo.

No time kufuatilia ya bungeni maana Halima ana makesi kibao yasiyowahusu wana Kawe.
Bora tumpunzishe aendelee na makesi yake anayoyahusudu, ili Gwajima afanye kazi tutakayomtuma.
 
Watu wajinga wajinga kama ninyi hebu msome bandiko langu no 140, immediate kabla la hili.
Utaelimika na kukusaidia kuondoa tongo tongo za kisiasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…