Simba zee 33
JF-Expert Member
- Sep 15, 2020
- 1,374
- 1,564
Tafadhali angalia ile Video halafu soma Tena maono yakoWatu mliochanganyikiwa mna matatizo makubwa kichwani.
Hatuchagui mbunge ambaye kitanda chake nusu ya ubunge wake ni mahabusu.
Mnampenda Halima kamsaidieni kulala mzungu nne mahabusu Na mumtie joto.
Siye tunataka mtu wa kutatua kero za barabara.
Of course wewe akili huna je macho yako hayaon?