Uchaguzi 2020 Rais Magufuli, kama kweli ni mcha Mungu basi muombe radhi Halima Mdee na watu wa Kawe kwa uliyosema hadharani maana uligusa maisha ya watu

Huyu Magufuli Mwalimu wa chemistry ni mbumbumbu sana lakini yeye anajiona ana akili sana. Memory yake ndogo sana halafu anadanganyika kirahisi na waliomzunguka.
Mtukufu magufuli hana kumbukumbu yeye hukariri vya cyprian Musiba na polepole bila kutafakari huropoka matokeo yake ni kujidhalilisha
 
Acha hizo hayo madai yako hayana mashiko hata vigezo vyako ni vya kuishi kwa kukariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM na polepole, Kwa watu wanaojitambua wanajua kikwazo kikuu kwa Halima mdee ni watekelezaji wa kero zote ambao ni meya CCM na mkurugenziccm waliopo kwenye halimashauri ya Kinondoni, Bungeni kila kitu kimefikishwa vizuri
 
Hata isambazwe mitandaoni kote Duniani wajue unafiki uongo wa CCM
 
Mkuu mbona kama umelishwa sumu ya kupinga kila kitu.
Mawazo yako sasa ni yepi.
Mtu kashindwa kazi, utamshambuliaje yule anayeweza!
Mwalimu alisema ukimpenda mtu, kama Mdee, mchukue mkanywe naye chai!
 
Majimbo ya CCM yana umasikini wa kutupwa hakuna jimbo la CCM lenye maendeleo
 
Ndiyo maana Ndungai alipiga bilion 12 akiwa india akamgawia Tulia kisha kumpiga marufuku CAG kusogelea hesabu za bunge akashinikiza mtukufu magufuli amtoe CAG kafara
 
Watu wajinga wajinga kama ninyi hebu msome bandiko langu no 140, immediate kabla la hili.
Utaelimika na kukusaidia kuondoa tongo tongo za kisiasa.
Tongo tongo zipi wakati wewe mwenyewe una matongotongo? Unawezaje kujua chochote wakati umekariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM mpaka umejitoa fahamu zote
 
Wanufaika wa unyanyasaji uonevu uovu wa CCM wapo busy kumtetea mtukufu mwenyekiti wa CCM bila Aibu kwani wanajua mtukufu magufuli akitoka ikulu watalala njaa
 
Kumbuka mbunge ni diwani.Je ni kweli mbunge huyu atakuwa akitoka bungeni haingii hata kwenye vikao vya council kwa miaka yote mitano?Mbunge ni mjumbe wa bodi ya barabara,aulizie barabara bungeni ashindwe kufuatilia jimbon kwake?
jambo la pili ambalo unakwepa lakini mkuu amelizungumzia mara nyingi nila kutokupeleka chakula kwa mtoto wa kambo (whether it was a joke lakini imesaidia ku justify kwa nini kuna baadhi ya mambo hayakwenda).
Hatred towards watu wenye mawazo tofauti,impact yake ndiyo hii sasa.
Mpeni Gwajima mpate maendeleo.
 
Tongo tongo zipi wakati wewe mwenyewe una matongotongo? Unawezaje kujua chochote wakati umekariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM mpaka umejitoa fahamu zote
Mkuu tulia kama unanyolewa!
Nyie na halima lazima tongotongo za kisiasa tutawaosha uso.
Nambari wani hamuiwezi!
 
Hivi wana Kawe si watanzania wanaolipa kodi...kwa nini serikali usisikilize maombi ya mwakilishi wao hata kama ni mpinzani...?
 
Tatizo kubwa la Halima ni kujifanya mjuaji kwa kisias, wa town.
Imekula kwake, na jimbo la Kawe kama unyasi tunaumia kwa sababu ya ujuaji wa kijinga wa Halima.

Kaubavu ka Halima kanaishia kisemeo chake, mdomo.
Mdomo huo huo angeutumia vizuri kulobby kwa serikali iliyo madarakani tungemwona ana akili, ingalau mdomo wa kidiplomasia, kuuma na kupuliza.

Lakini mshamba yule Halima, miaka 10 anafikiri anaweka bifu na wanasiasa kumbe wao wamemuwekea kigingi cha vyombo vya serikali.
Matokeo yake ananuka kila anapokwenda, aingie ofisi ya nani, na anatukana kila siku kama hana akili nzuri.
Mwisho wake ni selo, kesi na frustrations zake binafsi.

Kawe needs a change from these novices, Halima awepo asiwepo, sisi tunataka maendeleo, nothing short.
 
Hivi kwa akili yako Finyu Rais anauliza kama Kuna Mradi unaotakiwa kutekelezwa Jimbo la KAWE, ambao Mbunge wake anasumbua sumbua kuulizia ili autekeleze na anasema majibu yakaja Hamna! Na wewe Zuzu Unaamini....!

Sisi Raia wa kawaida Hatutaki Uongozi wa namna hiyo, tunataka Rais ambaye sio mpaka aulize Nani anasumbua sumbua ili atekeleze miradi ya Maendeleo!

Kama anajua kuna umuhimu wa Uwepo wa maji sehemu flani ambako Maji hakuna, kwa Dhati anaona Wananchi wanavyopata shida, tunataka atende, sasa Kama CCM huwa wanauliza kwanza kuhusu kusumbuliwa ndo watende.....thats why we want to change them this time......
 
Bahati mbaya huna akili ya kuelewa fumbo.
Baki hivyo hivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…