Kumbuka mbunge ni diwani.Je ni kweli mbunge huyu atakuwa akitoka bungeni haingii hata kwenye vikao vya council kwa miaka yote mitano?Mbunge ni mjumbe wa bodi ya barabara,aulizie barabara bungeni ashindwe kufuatilia jimbon kwake?
jambo la pili ambalo unakwepa lakini mkuu amelizungumzia mara nyingi nila kutokupeleka chakula kwa mtoto wa kambo (whether it was a joke lakini imesaidia ku justify kwa nini kuna baadhi ya mambo hayakwenda).
Hatred towards watu wenye mawazo tofauti,impact yake ndiyo hii sasa.
Mpeni Gwajima mpate maendeleo.
Tatizo kubwa la Halima ni kujifanya mjuaji kwa kisias, wa town.
Imekula kwake, na jimbo la Kawe kama unyasi tunaumia kwa sababu ya ujuaji wa kijinga wa Halima.
Kaubavu ka Halima kanaishia kisemeo chake, mdomo.
Mdomo huo huo angeutumia vizuri kulobby kwa serikali iliyo madarakani tungemwona ana akili, ingalau mdomo wa kidiplomasia, kuuma na kupuliza.
Lakini mshamba yule Halima, miaka 10 anafikiri anaweka bifu na wanasiasa kumbe wao wamemuwekea kigingi cha vyombo vya serikali.
Matokeo yake ananuka kila anapokwenda, aingie ofisi ya nani, na anatukana kila siku kama hana akili nzuri.
Mwisho wake ni selo, kesi na frustrations zake binafsi.
Kawe needs a change from these novices, Halima awepo asiwepo, sisi tunataka maendeleo, nothing short.