Waterloo
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 25,356
- 38,922
Rais Magufuli anategemea kufanya ziara Hapa Mirerani kuanzia Jumatano ya wiki ijayo. Hii ni kwa mujibu wa mnyetishaji wangu niliekutana nae hapa Mirerani asubuhi ya leo nikiwa kwenye shughuli zangu.
Bado haijawekwa wazi lengo hasa la ujio huu mzito katika eneo hili maarufu katika uchimbaji wa madini aina ya Tanzanite. tuendelee kutega sikio.
Please naomba Moderators hii ibaki kuwa tetesi mpaka itakapothibitishwa na mamlaka husika.