Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
ni merirani siyo mererani
Ni Mererani sio mirerani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ni merirani siyo mererani
Wengi wanachanganya ni Mirerani.Ivi sio "mererani"?
Mirerani wakuu mimi ni mmoja wa watu ambao karibu kila wiki napitapita hapo kuchek vitalu!ni merirani siyo mererani
sana kiongozi watu walipiga hela sana enzi hizo nakumbuka jamaa tuliokuwa wote shuleni waliacha wakatorokea machimboni.wengine walifanikiwa na sasa ni matajiri wakubwa tu.ila wengine walichezea hiyo pesa kwa starehe saa hizi wapo wanaishi kijanja janja mjini.Dah! Umenikumbusha mbali. Mererani zamani bhana. Enzi zile wanapolo wakifaidi matunda ya rasilimali zetu directly. Ilikuwa full raha hadi Mkapa alipokuja kuwauzia makaburu wa Tanzanite One.
Mzunguko wa ela ukapunguwa sana na crime na ujambazi vikaongezeka. Kule kulikuwa ni kama ndoto ya vijana wengi tu ambao walitegemea kama njia rahisi ya kujipatia utajiri.
Wengi matumizi yao wengine wangeweza kuyaita ni ya hovyo, lakini kiukweli pesa nyingi ilibaki kwenye mzunguko hapa nchini na ilisaidia sana maisha ya wananchi. Vijana walijenga, kuwekeza nk.
Serikali lichotakiwa kufanya ni kuweka tu utaratibu mzuri ili wasikose mapato. However wangewaachia wanapolo na wazawa wengine kuendelea na uchimbaji kama ilivyokuwa hapo awali.
Pia Mererani penyewe ukipatizama huwezi kuamini ndipo inapotoka Tanzanite. Yani jiwe ambalo marekani kuna channel ya Tv ambayo ni full dedicated to Tanzanite and only Tanzanite sales. Yani uki switch hiyo channel ni mauzo ya Tanzanite tu. Sasa tunafahamu ni kiasi gani ilivyo ghali kuhost hiyo channel.
Kwa US pia kuna miji ambayo gold iliwahi kugunduliwa. Wenyewe walikuwa wakiita "gold rush" Kuna "The California gold rush", The Georgia gold rush", watu walihamia hayo maeneo kwa wingi kwasababu hiyo.
Lakini serikali zao hazikuwafanyia kama jinsi Mkapa alivyotufanyia. Nina uhakika anafahamu historia na alifanya tofauti kwasababu ni kweli aliamini kuwa anaongoza malofa, na kweli akatufanya makosa hadi leo wananchi wa kawaida ni maumivu.
Huko USA na kwingineko, hayo maeneo hata madini hayo yalipokuja kuisha, kulibakia miundo mbinu ya nguvu na shughuli nyingine za kiuchumi kama viwanda nk., pia kutokana na wahamiaji, maeneo hayo yalipanuka na kuwa miji muhimu.
Yani unapopita hayo maeneo, unashangaa, lakini unapoambiwa kuhusu uwepo wa rasilimali hizo huko nyuma, unajiuliza maswali mengi sana na pia kufunguka na kuona kumbe sisi ni wazembe kweli kweli.
Mjiandae kisaikolojia.
Umeongea pointi jingalaoWana Appolo wapewe vitalu na baadhi viende kwa wawekezaji wanaoeleweka
Nani amekuambia utangaze ziara za RaisHabari za weekend wadau!
kama heading inavyojieleza Rais Magufuli anategemea kufanya ziara Hapa mirerani kuanzia Jumatano ya wiki ijayo. Hii ni kwa mujibu wa mnyetishaji wangu niliekutana nae hapa mirerani asubuhi ya leo nikiwa kwenye shughuli zangu.
Bado haijawekwa wazi lengo hasa la ujio huu mzito katika eneo hili maarufu katika uchimbaji wa madini aina ya Tanzanite. tuendelee kutega sikio.
Please naomba Moderators hii ibaki kuwa tetesi mpaka itakapothibitishwa na mamlaka husika.
Ndo nani mkuuHabari za weekend wadau!

Sema "Kama albadir ikiwa haijampata..."Habari za weekend wadau!
kama heading inavyojieleza Rais Magufuli anategemea kufanya ziara Hapa mirerani kuanzia Jumatano ya wiki ijayo. Hii ni kwa mujibu wa mnyetishaji wangu niliekutana nae hapa mirerani asubuhi ya leo nikiwa kwenye shughuli zangu.
Bado haijawekwa wazi lengo hasa la ujio huu mzito katika eneo hili maarufu katika uchimbaji wa madini aina ya Tanzanite. tuendelee kutega sikio.
Please naomba Moderators hii ibaki kuwa tetesi mpaka itakapothibitishwa na mamlaka husika.
Nilistuka kodogo nilidhani MAREKANI
Duh!Sema "Kama albadir ikiwa haijampata..."