Tetesi: Rais Magufuli kufanya ziara Mirerani mkoani Manyara tarehe 20 Septemba 2017

Rais Magufuli anategemea kufanya ziara Hapa Mererani kuanzia Jumatano ya wiki ijayo. Hii ni kwa mujibu wa mnyetishaji wangu niliekutana nae hapa Mererani asubuhi ya leo nikiwa kwenye shughuli zangu.

Bado haijawekwa wazi lengo hasa la ujio huu mzito katika eneo hili maarufu katika uchimbaji wa madini aina ya Tanzanite. tuendelee kutega sikio.

Please naomba Moderators hii ibaki kuwa tetesi mpaka itakapothibitishwa na mamlaka husika.
Bila shaka ataambatana na mshauri wake mkuu Dr Bashite
 
Back
Top Bottom