Anaenda kuwaapisha (kuwapa kamisheni) maofisa wa JWTZ 23/09 pale TMA nahisi .Habari za weekend wadau!
kama heading inavyojieleza Rais Magufuli anategemea kufanya ziara Hapa mirerani kuanzia Jumatano ya wiki ijayo. Hii ni kwa mujibu wa mnyetishaji wangu niliekutana nae hapa mirerani asubuhi ya leo nikiwa kwenye shughuli zangu.
Bado haijawekwa wazi lengo hasa la ujio huu mzito katika eneo hili maarufu katika uchimbaji wa madini aina ya Tanzanite. tuendelee kutega sikio.
Please naomba Moderators hii ibaki kuwa tetesi mpaka itakapothibitishwa na mamlaka husika.
Nadhani sio TMA this time. Amri Abeid KalutaAnaenda kuwaapisha (kuwapa kamisheni) maofisa wa JWTZ 23/09 pale TMA nahisi .
Wajaribu ndio watajua nini maana ya Taasisi ya URAIS.sidhani aisee jirani zangu wameru nawajua vizuri vichwa vyao
Nilistuka kodogo nilidhani MAREKANI