Tetesi: Rais Magufuli kufanya ziara Mirerani mkoani Manyara tarehe 20 Septemba 2017

Tuombe Mungu watu wasiojulikana watokee maeneo hayo!
 
Hana jipya huyo make hata zile Noah za makinikia zimemshinda hayo ya mererani atayaweza?ngosha wako kashindwa kila kitu hata kesi za uhujumu uchumi nazo sasa anazifuta.
 
Kwa hulka yake atatafuta jambo kubwa kana kuwanyanganya Sky Associates mgodi wa tanzanite kuondoa habari ya Lissu vichwani vya watu
Kwa maana nyingine atatafuta kick mpya kumrudisha kwenye chati baada ya sakata la Lissu kutaka kuuwawa na 'watu wasiojulikana'

The guy is so predictable
 
Pia atahutubia wananchi wa Arusha uwanjani Stadium na kuweka jiwe la msingi kwa baadhi ya miradi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…