theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Mbona taasisi nyingi huwa zinai refer kama kimkoa tu.Zanzibar nchi subir tarehe 12 utaelewa
Tarehe 12 fatilia vizuri Utajua kwanini Zanzibar sio mkoa bali ni nchiMbona taasisi nyingi huwa zinai refer kama kimkoa tu.
Unakuta taasisi zinaorodhesha maeneo/mikoa yenye ofisi zao na Zanzibar ina appear kama kimkoa tu
Katukanwa wapi wewe falaUna mtukana Rais wewe kweli? Usije ukaanza kulialia kama anavyolia Kabendera. Ngoja tukuingize kwenye orodha!! mliberali be informed!!
Hizo sherehe za trh 12 zinafanywa kuwapumbaza wasojielewaTarehe 12 fatilia vizuri Utajua kwanini Zanzibar sio mkoa bali ni nchi
Yaani JPM anakuwa mdogo kwa Sheni wewe unasema wanapumbaza wasiojielewa !!! subiri uone nani anakwagua gwarideHizo sherehe za trh 12 zinafanywa kuwapumbaza wasojielewa
Yaan Ma-CCM mnaona kama mtaishi milele na hii nchi ni ya kwenu.Hatuna muda wa kubishana subiri dawa ikuingie upone ugonjwa wako wa stress!
Mbona unanitukana?
Shein ni ceremonial leader tu hapo mkoani ZanzibarYaani JPM anakuwa mdogo kwa Sheni wewe unasema wanapumbaza wasiojielewa !!! subiri uone nani anakwagua gwaride