Rais Magufuli kufanya ziara ya siku 5 Zanzibar, kuzindua jengo la TISS Zanzibar

Rais Magufuli kufanya ziara ya siku 5 Zanzibar, kuzindua jengo la TISS Zanzibar

Hakuna siri yoyote mbona makao yanafanyika...

Hata Nchi zetu ofisi zao zinafahamika na pia wanaenda mbali na wanatoa hadi operation walizotumia na pia bajeti zao kwa mwaka...

Watanzania mbona mnakuwa walalamishi sana, kulikoni?
 
Aisee, hii hoteli ya Verde Zanzibar ina mpaka co2 sensor.
 
Hivi kwani hawa watu wasiojulikana mambo yao yote huwa si yanafanyika kwa siri siri tu sasa inakuwaje huyu msigwa atutangazie kuwa jengo lao kule zenji litawekwa jiwe la msngi....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom