nkongu ndasu
JF-Expert Member
- Jan 19, 2013
- 22,532
- 6,624
kama JPM anataka aukose uenyekiti wa ccm basi apeleke katiba ya warioba bungeni badala ya katiba pendekezwa...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
haa haa ni kweli lakini hata kinana na jk. maana kuna yule mtoto wa bulembo na the like ni shiiida.Anatafuta ugomvi na Mbowe...
Hahahaaaaaa, wale ma baby!!!Hahahahahaaaaaa! Unatafuta ugomvi na viti maalum wewe. Bunge halitakalika
Tume ya uchaguzi kuitoa mikononi mwa CCM ndilo jambo la msingi mengine ni matokeo tu. Viti maalum havipo kwa faida kama unayoikokotoa kwenye biashara. Ni suala la kijamii.Ikiwa ni kuondokana na gharama zisizo za msingi, serikali ya Magufuli inasemekana iko tayari kuanza mchakato wa katiba mpya kwa kuanza kuleta upya mapendekezo ya tume ya jaji Warioba yaliyotupiliwa mbali awali. Ambapo pamoja na mambo mengine ili kupunguza matumizi yasiyo ya lazima wabunge wa viti maalum hawatakuwepo, kama ilivyopendekezwa na tume ya Jaji Warioba..
"Wabunge hawa wa viti maalum hawana kazi wanayofanya zaidi ya kuliingizia taifa hasara" Dr. Bana alipoulizwa kuhusu mapendekezo ya Warioba kurudiwa upya
Pamoja na hilo, Rais pia kadhamiria kurudisha miiko ya uongozi kama moja ya njia ya kurudisha nchi katika misingi ya uwajibikaji na uzalendo....
Mytake: Rais Magufuli kama unataka ubaki katika historia ya nchi hii, basi tunaomba utuletee upya ...
Ni sawa na kusema mi sili nyama natumia mchuzi tumimi binafsi siungi mkono suala la serikali tatu honestly lakin katiba ile ya Warioba ni mwarobaini wa matatizo mengi yanayotukumba kama nchi
yako mwenyekiti naomba unilinde HILO WASEMALO NI TETESI WITH NO MASHIKO.Hiyo ni tetesi tu ambayo imeletwa na mtoa mada,halijadhibitishwa na hata kama likipita si kwa kipindi hiki ila itakuwa ni kwa mwaka 2020.
Kwakweli viti maalum ni mzigo mzito kwa uchumi wa taifa.Hahahahahaaaaaa! Unatafuta ugomvi na viti maalum wewe. Bunge halitakalika
Sio kila jambo linaangaliwa kisiasa na kiitikadi,
sometime angalia issues kwa misingi ya utaifa na maendeleo ya vizazi vijavyo, poor you.
Monica Lewinsky alitingisha Marekani. Aliyesaidia, in my opinion, alikuwa Hilary (alishakuwa na ndoto za urais) alipojifanya hajali!ikifika pahala mtu anakosa hoja na kumfanya mtu kuwa ndo hoja yake ujue taifa lina shida kubwa,wewe ni shida moja wapo katika taifa....................