Tetesi: Rais Magufuli kufuta ubunge viti maalum, ni kwa kurejesha mapendekezo ya tume ya Jaji Warioba

Tetesi: Rais Magufuli kufuta ubunge viti maalum, ni kwa kurejesha mapendekezo ya tume ya Jaji Warioba

kama JPM anataka aukose uenyekiti wa ccm basi apeleke katiba ya warioba bungeni badala ya katiba pendekezwa...
 
Ikiwa ni kuondokana na gharama zisizo za msingi, serikali ya Magufuli inasemekana iko tayari kuanza mchakato wa katiba mpya kwa kuanza kuleta upya mapendekezo ya tume ya jaji Warioba yaliyotupiliwa mbali awali. Ambapo pamoja na mambo mengine ili kupunguza matumizi yasiyo ya lazima wabunge wa viti maalum hawatakuwepo, kama ilivyopendekezwa na tume ya Jaji Warioba..

"Wabunge hawa wa viti maalum hawana kazi wanayofanya zaidi ya kuliingizia taifa hasara" Dr. Bana alipoulizwa kuhusu mapendekezo ya Warioba kurudiwa upya

Pamoja na hilo, Rais pia kadhamiria kurudisha miiko ya uongozi kama moja ya njia ya kurudisha nchi katika misingi ya uwajibikaji na uzalendo....

Mytake: Rais Magufuli kama unataka ubaki katika historia ya nchi hii, basi tunaomba utuletee upya ...
Tume ya uchaguzi kuitoa mikononi mwa CCM ndilo jambo la msingi mengine ni matokeo tu. Viti maalum havipo kwa faida kama unayoikokotoa kwenye biashara. Ni suala la kijamii.
 
Itakuwa poa sana kama watafuta hvyo viti maalum lakn tunahitaji sana sana katiba ya wananchi ndio suluhu ya kila kitu maana hii katiba ya viraka inatutesa sana
 
Jesca Kilaza katika ubora wake! Amen hatutoki kirahisi kutuhamisha Labd kwa muda tu ila tutakomaa nae mwaka mzima!! Atajuta kurupoka
 
Ili Magufuli ajiondoe kwenye lawama za Watz alete Katiba mpya haraka.
 
Naunga mkono 100% kwa 100% maoni ya katiba ya wananchi na siyo ile ya Standard & Speed na wenzake.
 
NIP0 NYUMA YAKO
Hiyo ni tetesi tu ambayo imeletwa na mtoa mada,halijadhibitishwa na hata kama likipita si kwa kipindi hiki ila itakuwa ni kwa mwaka 2020.
yako mwenyekiti naomba unilinde HILO WASEMALO NI TETESI WITH NO MASHIKO.
 
Mimi naunga mkono hoja, pia napendekeza kwamba katika uchaguzi wowote ule, kiongozi achaguliwe kwa sifa sio kubalance jinsia.
 
hata kama wasipovifuta inabidi waweke ukomo kuna watu kama kina Suzana Lyimo hata siku moja hawajawaza kugombea ubunge kama uzoefu walishapata ukija ccm nako utakuta kibao kama wakina Sophia simba mbona Halima Mdee na Magdalena Sakaya wamegombea baada ya kukaa kipindi kimoja kwenye viti maalumu
 
Sio kila jambo linaangaliwa kisiasa na kiitikadi,

sometime angalia issues kwa misingi ya utaifa na maendeleo ya vizazi vijavyo, poor you.

Mkuu nakubaliana na wewe kwa kiasi kikubwa..ingawa mimi binafsi hilo neno "sometime" ningetoa nikaweka "all the time". Inatakiwa wakati wote maslahi ya taifa yapewe kipaumbele...na pale maslahi ya vyama yanapokinzana na ya taifa, maslahi ya vyama yapuuzwe.
 
ikifika pahala mtu anakosa hoja na kumfanya mtu kuwa ndo hoja yake ujue taifa lina shida kubwa,wewe ni shida moja wapo katika taifa....................
Monica Lewinsky alitingisha Marekani. Aliyesaidia, in my opinion, alikuwa Hilary (alishakuwa na ndoto za urais) alipojifanya hajali!

Viti maalum vingi vimeshikwa na wanawake, walemavu na vijana wakichukua sehemu ndogo. Sasa sijui hili limekaaje kwa wanawake wenzangu? Irrespective mbunge wa viti maalum ameingia kwa vigezo gani, hawa nawaona ndio wachangiaji wakubwa bungeni. Siamini kama tulimtuma Warioba avifute viti hivi labda vya wazanzibari walioapishwa majuzi.
 
Back
Top Bottom