Tetesi: Rais Magufuli, Kuna kijana unayemuamini sana ambaye yumo kwenye kundi la kukuangusha

Kwa kuwahakikishia tu, yote aliyoyaleta mtoa mada na mengine mengi, yanajulikana pale Kijitonyama. TISS ipo kumlinda rais na ya Tanzania inajulikana Afrika.
 
Mheshimiwa hii taarifa inabidi aifanyie kazi. Wasaliti ktk jamii huwa ni watu wa karibu sana na mhusika. Hakuna msaliti asie kuwa mtu wa karibu.
 
Acha aendelee kumhujumu ni jambo la heri sana hilo kama akifanikiwa
 
Huhitaji cheti cha form six kuielewa tahadhari iliyopo hapa lakini nina iman na ninaiman na ninaimani hawataweza kumfanya lolote mh. Magufuri na hawataweza kweli kabisa na watashindwa kabla hawajaanza maana naamini haya yote mh. Magufuri atachukua kama tahadhari.
 
wewe unataka kuharibu kabisa dili,sasa akihujumiwa huyu wewe una hasara gani? mtaani tumemchoka mno wacha ahujumiwe tu,
Aisee umemchoka wewe na wajinga wachache wanao wanao hitaji mafanikio ya haraka haraka bila kufikirisha akili maana nikiangalia mambo ya msingi sana tena sana naona hana tatizo lolote zaid ya mapungufu madogo madogo ambayo ataendelea kujireekebisha akisha izoea ikulu na mamlaka aliyo nayo kitu ambacho naona kimeanza kutokea maana kuna tofauti kubwa kati ya mwanzo na sasa.
 
Aiseee! Huyo kijana Mkuu wa Mkoa wa Matamko hajui kua kiongoz hajaribiwi?
 
Reactions: PNC
Magufuli angetaka angetoa muelekeo, watu wote wangefuata muelekeo huo.
Ila sasa kila mtu anafanya dili zake
 
I heared from a friend "He has been Messin' around"
a song by pitbull
 
Mleta mada ni UVCCM, ni kati ya waliotuhumiwa na sasa anamwaga mboga. Mambo hadharani khaa. Mwacheni mkuu atekeleze ilani zake jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…