Tetesi: Rais Magufuli, Kuna kijana unayemuamini sana ambaye yumo kwenye kundi la kukuangusha

mtukufu anateua watu ili kuwakomoa wapinzani anasahau kuwa wateuliwa ni double argent, mtukufu angekuwa makini angelijiweka karibu na wapinzani, analazimisha uadui na upinzani ili kuwafurahisha maadui wake ndani ya chama
 
Mkuu, kuna jambo Mtukufu anafanya litainua taifa siku za usoni tusubiri tuone....
Watu wana team zao toka zamani leo unawaita marafiki una blacklist opposition,
Well and good..time is everything.
 
Nairobian kaza buti utamfunika lizaboni muda si mrefu na pia utamkasirisha hadi utasababisha naye aje kujibu mapigo haya.

Yote kwa yote nakupongeza kwa ujasiri wa kumlipua.
 
Angalia usije dhibitiwa wewe na ukoo wako wote Panya uliolaaniwa na kuleta kiumbe kilicholaaniwa Dunia hii!
Watu wengine mko hapa Duniani kama mizigo tu, ukiniuliza mimi hata mkifa sawa tu!
 
Serikalini kawadhibiti, kwenye chama yupo juu tayari Bungeni kila kitu kinapita,mikutano yeye pekee ndio amapiga vijembe, kwenye chakula na maji hamumpati mkewe ndio ana muandalia , hasikilizi mashauri Wala hana mapatano haamini mtu. Kuabudu anasaidiwa kawakatia mianya tote ya pesa na deal, msiempenda kaja.... Sometimes huwa najiuliza viti vingine vya uongozi ni Shida vinaongeza uadui... Ila katiba kuvunja si sawa.. Na mnaotaka katiba ibadilishwe mtakuja kujuta.. Ngojeni tu
 
Mambo kama haya yatakuwepo sana awamu hii kutokana na mkubwa alivyo jiweka
 
Angalia usije dhibitiwa wewe na ukoo wako wote Panya uliolaaniwa na kuleta kiumbe kilicholaaniwa Dunia hii!
Watu wengine mko hapa Duniani kama mizigo tu, ukiniuliza mimi hata mkifa sawa tu!
Wale wanaosema hakuna Mungu umewapa max nyingi. Iddi Amin aliua walemavu kuwa ni mizigo. Hata Japan kijana aliingia wodini akaua wazee na walemavu kuwa ni mizigo...
Raisi sio Mungu asikosolewe... Mungu mwenyewe anakosolewa
 
Wiki hii au inayofuata kuna kiogozi atahamishwa ofisi na kupelekwa mkoani pembezoni mwa nchi! take it
 
Angalia usije dhibitiwa wewe na ukoo wako wote Panya uliolaaniwa na kuleta kiumbe kilicholaaniwa Dunia hii!
Watu wengine mko hapa Duniani kama mizigo tu, ukiniuliza mimi hata mkifa sawa tu!

Kufa kila mtu atakufa mkuu. Unanitakia nife hio mmi siogopi.,maana najua itakuwa saa yangu imefika. Wewe mwenzangu ndio unaogopa kufa na hao wenzako.
Tanzania imefika hapa kutokana na watz wajinga kma wewe ambao kila kitu wanakubali na sio kujiuliza.
 
Mpuuzi ni mpuuzi tu ukimwambia pori lina SIMBA atakwambia hakuna shida anaelewana na Kaseja.
 
Still loading....................
 
Mheshimiwa hii taarifa inabidi aifanyie kazi. Wasaliti ktk jamii huwa ni watu wa karibu sana na mhusika. Hakuna msaliti asie kuwa mtu wa karibu.
Yuda alikuwa karibu sana na Yesu Kristo na hata alimwamini kuwa mtunza fedha.
 
Sidhani kama ungeacha kuchukua plate namba za hilo gari.
 
Double Agent anasema hataki viongozi wa kidini ofisini kwake. Duh !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…