Tetesi: Rais Magufuli, Kuna kijana unayemuamini sana ambaye yumo kwenye kundi la kukuangusha

Tetesi: Rais Magufuli, Kuna kijana unayemuamini sana ambaye yumo kwenye kundi la kukuangusha

Acha unaaa.....pengine huyo ndio kijana pekee aneendana na awamu yetu ya kasi tu.....
Kuchagua watu ni jambo moja, watu hao kukutumikia ni jambo jingine..(hata wakiwa ndugu zako wa kuongea lugha ya kuzaliwa)

Anyway, its about time, karma is a bitch.
mtukufu anateua watu ili kuwakomoa wapinzani anasahau kuwa wateuliwa ni double argent, mtukufu angekuwa makini angelijiweka karibu na wapinzani, analazimisha uadui na upinzani ili kuwafurahisha maadui wake ndani ya chama
 
mtukufu anateua watu ili kuwakomoa wapinzani anasahau kuwa wateuliwa ni double argent, mtukufu angekuwa makini angelijiweka karibu na wapinzani, analazimisha uadui na upinzani ili kuwafurahisha maadui wake ndani ya chama
Mkuu, kuna jambo Mtukufu anafanya litainua taifa siku za usoni tusubiri tuone....
Watu wana team zao toka zamani leo unawaita marafiki una blacklist opposition,
Well and good..time is everything.
 
Nairobian kaza buti utamfunika lizaboni muda si mrefu na pia utamkasirisha hadi utasababisha naye aje kujibu mapigo haya.

Yote kwa yote nakupongeza kwa ujasiri wa kumlipua.
 
Kusema ukweli,raisi magufuli hafai kuongoza taifa hili lenye tofauti za imani,makabila na itikadi. Tunajipeleka pabaya sana. Huyu mtu hafai kuwa raisi wa nchi. Ndio hapa sasa tunaona majawabu ya siasa katika kazi maana kama usalama wa taifa wanapotoa ushauri na kuzingatiwa tusingefika hapa,maana vetting ingezingatiwa.
Tumlaumu nani? Kikwete and co. Maana baada ya hapo ndio magufuli akaukwa uraisi huo lakini hakuwahi kufikiriwa.
Kingine, hakuna muda ambao nchi imekuwa more sensitive katika ukanda zaidi kuliko ilivyokuwa nyuma huko kuhusu udini. Naamini pia,siasa zetu za nje pia zinabadilika kwa kile ambacho magufuli haelewi mambo yanavyokwenda. Sio kila kitu kwenye dunia hii aliyoumba Mungu kina make sense. Yeye anataka kufanya vitu sababu vina make sense wakati vingine ni karata na maamuzi ya haraka katka kufanikisha jambo. Magufuli atatuletea matatizo makubwa kama hatazibitiwa.


Angalia usije dhibitiwa wewe na ukoo wako wote Panya uliolaaniwa na kuleta kiumbe kilicholaaniwa Dunia hii!
Watu wengine mko hapa Duniani kama mizigo tu, ukiniuliza mimi hata mkifa sawa tu!
 
Serikalini kawadhibiti, kwenye chama yupo juu tayari Bungeni kila kitu kinapita,mikutano yeye pekee ndio amapiga vijembe, kwenye chakula na maji hamumpati mkewe ndio ana muandalia , hasikilizi mashauri Wala hana mapatano haamini mtu. Kuabudu anasaidiwa kawakatia mianya tote ya pesa na deal, msiempenda kaja.... Sometimes huwa najiuliza viti vingine vya uongozi ni Shida vinaongeza uadui... Ila katiba kuvunja si sawa.. Na mnaotaka katiba ibadilishwe mtakuja kujuta.. Ngojeni tu
 
Mambo kama haya yatakuwepo sana awamu hii kutokana na mkubwa alivyo jiweka
 
Angalia usije dhibitiwa wewe na ukoo wako wote Panya uliolaaniwa na kuleta kiumbe kilicholaaniwa Dunia hii!
Watu wengine mko hapa Duniani kama mizigo tu, ukiniuliza mimi hata mkifa sawa tu!
Wale wanaosema hakuna Mungu umewapa max nyingi. Iddi Amin aliua walemavu kuwa ni mizigo. Hata Japan kijana aliingia wodini akaua wazee na walemavu kuwa ni mizigo...
Raisi sio Mungu asikosolewe... Mungu mwenyewe anakosolewa
 
Wiki hii au inayofuata kuna kiogozi atahamishwa ofisi na kupelekwa mkoani pembezoni mwa nchi! take it
 
Angalia usije dhibitiwa wewe na ukoo wako wote Panya uliolaaniwa na kuleta kiumbe kilicholaaniwa Dunia hii!
Watu wengine mko hapa Duniani kama mizigo tu, ukiniuliza mimi hata mkifa sawa tu!

Kufa kila mtu atakufa mkuu. Unanitakia nife hio mmi siogopi.,maana najua itakuwa saa yangu imefika. Wewe mwenzangu ndio unaogopa kufa na hao wenzako.
Tanzania imefika hapa kutokana na watz wajinga kma wewe ambao kila kitu wanakubali na sio kujiuliza.
 
Mpuuzi ni mpuuzi tu ukimwambia pori lina SIMBA atakwambia hakuna shida anaelewana na Kaseja.
 
Mheshimiwa hii taarifa inabidi aifanyie kazi. Wasaliti ktk jamii huwa ni watu wa karibu sana na mhusika. Hakuna msaliti asie kuwa mtu wa karibu.
Yuda alikuwa karibu sana na Yesu Kristo na hata alimwamini kuwa mtunza fedha.
 
Mheshimiwa Rais, Tarehe 14 mwezi wa April mchana kwenye moja ya mahoteli makubwa jijini, huyu kijana alikuwa na mmoja wa aliyekuwa waziri wa Mambo ya nje, wakiongea mambo ya siri. Wakiwa ni watu watatu tu. Na moja ya vitu ambavyo niligundua, ilikuwa ni kuwachezeshea recording kwenye simu, ambayo ilikuwa ni kikao kizito, na sauti yako ilikuwemo. Tarehe 6 July, walikuwa pamoja maeneo ya Mikocheni, huyu kijana wako alikuwa mwenyewe kwenye gari aina ya Rav4 nyeusi yenye vioo vyeusi.
Sidhani kama ungeacha kuchukua plate namba za hilo gari.
 
Back
Top Bottom