johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Yeye Ben saanane kumuuliza phd feki yake tu, kapaa na roho yake fasta, CCM vilaza 99% mpka kabudi wenuRais Magufuli amesema kuna mbunge vyeti vyake ni " hewa" na historia yake ya elimu imejaa ujanja ujanja...
Hahahaaaa........ au Tale tale!Sio tabasamu kweli,jimbo Sengerema
Hii mpaka sasa kajamba tayari. Wanaleta mada bila kufikiria,wewe weka msumariMbona wako wengi tu ndani ya maccm ikiwemo wewe na master degree yako na Phd.
PhD ya Magufuli na wanasiasa wengine zichunguzwe upya! | JamiiForums
Mwigullu Nchemba kasoma pale Udsm na akina Tundu Lisu na Zitto Kabwe!Mwigulu Mchemba PH.D ya ujanja ujanja na bila hata aibu anataka kuanza kuitumia nimeona leo eti Dr. Mwigulu
Lusinde yupo wazi anakiri ni std 7Hao wengi Sana wamejaa bungeni, hivi lusinde elimu yake ikoje?
Haoni hata aibu kulipwa milioni 12 huku wasomi wanalipwa 710,000Lusinde yupo wazi anakiri ni std 7
Yani nyani haoni mqoundou wake.Yeye ben saanane kumuuliza phd feki yake kapaa na roho yake fasta,ccm vilaza 99% mpka kabudi wenu
Mpuuzi weweMbona wako wengi tu ndani ya maccm ikiwemo wewe na master degree yako na Phd.
PhD ya Magufuli na wanasiasa wengine zichunguzwe upya! | JamiiForums
Hapo ndiyo huwa nina kosa maana ya upinzani unapoamua kupinga kila kitu hata kama kipo sawa! Mbona Shule ya JPM iko vizuri, wazi tena hapa hapa Tanzania! Inafaa sana mkitoa hoja mbadala, kuliko viloja!Mbona wako wengi tu ndani ya maccm ikiwemo wewe na master degree yako na Phd.
PhD ya Magufuli na wanasiasa wengine zichunguzwe upya! | JamiiForums