AKASINOZO
JF-Expert Member
- Aug 22, 2016
- 1,367
- 2,219
Kujiuzulu ni neno lisilokuwemo kwenye kamusi zetu
Ndo atakuwa jiwe fully akifanya huo undezi Makamba ajiuzulu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo atakuwa jiwe fully akifanya huo undezi Makamba ajiuzulu
Thesis, Antithesis, Synthesis😅Kuna taarifa za chini ya kapeti kuwa Rais ameshauriwa na inaonekana ameshaurika kuwa aongeze muda wa matumizi ya mifuko ya plastiki kwa miezi sita.
Hii "imeonekana" kama kete muhimu kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu haswa kwa Chama Chake - CCM.
Kinachosubriwa ni tamko lake atakaporejea kutoka Namibia leo.
Kama itakuwa kweli basi hii ni ile inayoitwa kitaalaam kama THESIS , ANTITHESIS , SYNTHESIS.
Siyo mazingira, yan yeye mambo yote ya kitaalam hana ufahamu nayo, populism mwanzo mwisho!JPM huwa hajali kabisa mambo ya mazingira. Anaweza ongeza kweli.