Tetesi: Rais Magufuli kuongeza muda wa matumizi ya mifuko ya plastiki

Tetesi: Rais Magufuli kuongeza muda wa matumizi ya mifuko ya plastiki

Kama Mh. Rais akisitisha hili ntasimama na Mh. Makamba napinga matumizi ya mifuko plastiki na vifungashio vya plastiki.
"SAY NO TO PLASTIC"
 
Kwanza walichelewa kuifutilia mbali. Ingependeza hata kumbukumbu yake isiwepo.
 
Kuna taarifa za chini ya kapeti kuwa Rais ameshauriwa na inaonekana ameshaurika kuwa aongeze muda wa matumizi ya mifuko ya plastiki kwa miezi sita.

Hii "imeonekana" kama kete muhimu kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka huu haswa kwa Chama Chake - CCM.

Kinachosubriwa ni tamko lake atakaporejea kutoka Namibia leo.

Kama itakuwa kweli basi hii ni ile inayoitwa kitaalaam kama THESIS , ANTITHESIS , SYNTHESIS.
Thesis, Antithesis, Synthesis😅
 
Back
Top Bottom