Rais Magufuli: Lukuvi hawezi kuwa Mgombea urais wa CCM 2025 kwa sababu ana umri mkubwa. Ni fursa ya Vijana

Umesema kweli kabisa. Kama tumeshindwa kukombolewa na Lissu, basi kwisha habari yetu.
Kama ulivyosema Mtanzania akipata mihogo ya watoto, jioni akapata kahawa na mwanamke, basi inatosha ...... tumefikishwa hapo. Majitu mazima yanamuita Jiwe Yesu...
Atakuwa ameudhi watu wengi wa CCM kwa hii kauli. Wakome! Hili Bunge la sasa wabunge wote wameupata ubunge kwa ridhaa yake. CCM wakachekelea wakasema Lissu na Chadema wamekomolewa! Ona sasa.. wamemlea wee mpaka sasa hivi amefikia hatua ya kuamua ni nani awe rais na nani asiwe! Na bado. Na hatanii kweli. Atakachofanya ni atam-point mtu anayemtaka kwa kidole na kwenye kura atapenyeza tena kura kama alivyofanya huu uchaguzi. Walifikiri upinzani ndiyo unakomolewa kumbe dawa yao iko jikoni!
 
2005-2010 William Lukuvi alikosa Ubunge, hivyo katika muda huo akawa RC wa Dodoma na Dar es Salaam.

Tuweke sawa kumbukumbu zetu
Alikuwa mbunge na kisha akateuliwa kuwa RC kama ilivyokuwa kwa akina Mohammed AbdulAziz alikuwa RC wa Tanga na mbunge wa Lindi at once
 
Alichosema Rais Magufuli ni Sasa,umekuwa ni utamaduni wa CCM,ambao wameurithi toka TANU
1-Mwalimu Alikuwa mkubwa kwa Mwinyi.
2-Mwinyi Alikuwa mkubwa kwa Mkapa
3-Mkapa Alikuwa mkubwa kwa Kikweti.
4-Kikwete Alikuwa mkubwa kwa Magufuli. Naturally anayefuata kwa mtiririko huo lazima awe mdogo kwa Magufuli.
 
Huyu mzee amezidi sana kuchoma sindano za moto.

Sasa subiri vurugu za vijana wakiendeana kwa sangoma wakiamini urais unatoka kwa shetani...

Mungu atatuletea rais bora
 
Sikiliza mzee.
Atakayepitishwa na CCM ndiye atakayekuja kuwa rais.

Katiba ipo na itaendelea kuheshimiwa sana na kulindwa
CCM wako juu ya katiba ya nchi hata wawapangie wanachama wao umri wa kuwa Rais?Unaelewa kuwa katiba za vyama hazipaswi kuwa juu ya katiba ya nchi?
 
CCM wako juu ya katiba ya nchi hata wawapangie wanachama wao umri wa kuwa Rais?Unaelewa kuwa katiba za vyama hazipaswi kuwa juu ya katiba ya nchi?
Kwan waliosema Lissu hawezi kuwa Rais walivunja katiba?
 
Hayo ni maneno yako bali sio utaratibu wa CCM!
 
Kwan waliosema Lissu hawezi kuwa Rais walivunja katiba?
Umeelewa kilichoandikwa hapo?Unajua kusoma?Unaelewa kuwa tunajadili kauli ya Magufuli inayozungumzia mambo ya umri katika Urais?Waliosema kuwa Lissu hawezi kuwa Rais kwani walisema hivyo kutokana na umri wake?
 
CCM wako juu ya katiba ya nchi hata wawapangie wanachama wao umri wa kuwa Rais?Unaelewa kuwa katiba za vyama hazipaswi kuwa juu ya katiba ya nchi?
Mkuu unajipa stress za buree.
Tulia angalia mchezo.

Hakuna rais aliyewahi kuweka swahiba wake kwenye mirathi ya cheo hiko.

Hata Mwalimu alikwama
 
Kwa kuwa hakuna mwenye sifa ya kupeperusha bendera ya chama 2025 nashauri mzee baba aendeleze tu kijiti maana ana sifa zote za kuwa kim un Jung!!
Acha bangi
Nchi yote hii hakuna mwenye sifa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…