SN.BARRY
JF-Expert Member
- Oct 12, 2012
- 4,038
- 8,929
Ikulu ni mahari patakatifu, hatutaki mashoga wala wasagaji.Anthony Mavund.........
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ikulu ni mahari patakatifu, hatutaki mashoga wala wasagaji.Anthony Mavund.........
Atakuwa ameudhi watu wengi wa CCM kwa hii kauli. Wakome! Hili Bunge la sasa wabunge wote wameupata ubunge kwa ridhaa yake. CCM wakachekelea wakasema Lissu na Chadema wamekomolewa! Ona sasa.. wamemlea wee mpaka sasa hivi amefikia hatua ya kuamua ni nani awe rais na nani asiwe! Na bado. Na hatanii kweli. Atakachofanya ni atam-point mtu anayemtaka kwa kidole na kwenye kura atapenyeza tena kura kama alivyofanya huu uchaguzi. Walifikiri upinzani ndiyo unakomolewa kumbe dawa yao iko jikoni!Umesema kweli kabisa. Kama tumeshindwa kukombolewa na Lissu, basi kwisha habari yetu.
Kama ulivyosema Mtanzania akipata mihogo ya watoto, jioni akapata kahawa na mwanamke, basi inatosha ...... tumefikishwa hapo. Majitu mazima yanamuita Jiwe Yesu...
Alikuwa mbunge na kisha akateuliwa kuwa RC kama ilivyokuwa kwa akina Mohammed AbdulAziz alikuwa RC wa Tanga na mbunge wa Lindi at once2005-2010 William Lukuvi alikosa Ubunge, hivyo katika muda huo akawa RC wa Dodoma na Dar es Salaam.
Tuweke sawa kumbukumbu zetu
Alichosema Rais Magufuli ni Sasa,umekuwa ni utamaduni wa CCM,ambao wameurithi toka TANUMwenyekiti wa CCM Rais Magufuli amesema uchaguzi mkuu wa 2025 utatoa fursa kwa vijana kwa sababu zaidi ya 65% ya wapiga kura ni vijana
Rais Magufuli ametoa mfano wa mh Lukuvi kwamba hawezi kuwa Rais wa JMT 2025 kwa sababu atakuwa na miaka zaidi ya 70.
Maendeleo hayana vyama!
=======
RAIS MAGUFULI: Hakuna mtu alitegemea Mwinyi atakuwa Rais wa Zanzibar lakini pia Mwinyi katika kipindi chake chote hakuutafuta Urais, vitu hivi vinapangwa. Hakuna mtu alijua profesa Ibrahim atakuwa Jaji mkuu wa Tanzania hata mimi sikujua kama nitakuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Kwa sababu katika miaka yote ishirini nikiwa waziri na nikiwa mbunge sikuwahi kuomba hata ujumbe wa NEC.
Sikuwahi, wajumbe wa NEC walikuwa wakina Lukuvi, tangu aingie mle ni mjumbe wa NEC lakini Urais hakuupata na sina uhakika kama ataupata Urais. Wewe sasa hivi ana miaka sitini na kitu, tukapendekeze kwenye central committee tukachague Rais anaenizidi umri mimi, ndio ukweli.
Maneno mengine yanaumiza lakini nataka niwaeleze muwe mnajitayarisha kisaikolojia kusudi msipoteze hata hela zenu, hata wewe profesa Kabudi huwezi ukawa Rais, najua haya mambo ni magumu lakini huo ndio ukweli.
Mzee Kikwete wakati anaondoka, alisema hataona Rais ambae anamzidi umri wake, sasa muangalie mimi nina umri gani nitakapokuwa namaliza, ujipimie kuanzia kwenye umri pale. Yaani Malecela tumpendekeze awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, haiwezekani! Ameshakuwa mstaafu, tunamheshimu, tunampenda.
Najua mmenyamaza kwa hiyo inawezekana umekaa na jirani yako ambae ndie atakuwa Rais ambae labda ni kijana zaidi kwa sababu 65% ya watanzania ni vijana na hivi ndivyo vilivyomsaidia Mwinyi kushinda kule, wapiga kura ni vijana wether you like or not huo ndio ukweli, sasa huwezi ukawapelekea wapiga kura mtu ambae sio saizi yao.
Maneno yanauma lakini si mmeniomba niseme hapa, mimi nilikuwa nimekaa kimya tu leo nisiseme, nilikuwa nachomekea tu.
Huyu mzee amezidi sana kuchoma sindano za moto.Mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli amesema uchaguzi mkuu wa 2025 utatoa fursa kwa vijana kwa sababu zaidi ya 65% ya wapiga kura ni vijana
Rais Magufuli ametoa mfano wa mh Lukuvi kwamba hawezi kuwa Rais wa JMT 2025 kwa sababu atakuwa na miaka zaidi ya 70.
Maendeleo hayana vyama!
=======
RAIS MAGUFULI: Hakuna mtu alitegemea Mwinyi atakuwa Rais wa Zanzibar lakini pia Mwinyi katika kipindi chake chote hakuutafuta Urais, vitu hivi vinapangwa. Hakuna mtu alijua profesa Ibrahim atakuwa Jaji mkuu wa Tanzania hata mimi sikujua kama nitakuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Kwa sababu katika miaka yote ishirini nikiwa waziri na nikiwa mbunge sikuwahi kuomba hata ujumbe wa NEC.
Sikuwahi, wajumbe wa NEC walikuwa wakina Lukuvi, tangu aingie mle ni mjumbe wa NEC lakini Urais hakuupata na sina uhakika kama ataupata Urais. Wewe sasa hivi ana miaka sitini na kitu, tukapendekeze kwenye central committee tukachague Rais anaenizidi umri mimi, ndio ukweli.
Maneno mengine yanaumiza lakini nataka niwaeleze muwe mnajitayarisha kisaikolojia kusudi msipoteze hata hela zenu, hata wewe profesa Kabudi huwezi ukawa Rais, najua haya mambo ni magumu lakini huo ndio ukweli.
Mzee Kikwete wakati anaondoka, alisema hataona Rais ambae anamzidi umri wake, sasa muangalie mimi nina umri gani nitakapokuwa namaliza, ujipimie kuanzia kwenye umri pale. Yaani Malecela tumpendekeze awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, haiwezekani! Ameshakuwa mstaafu, tunamheshimu, tunampenda.
Najua mmenyamaza kwa hiyo inawezekana umekaa na jirani yako ambae ndie atakuwa Rais ambae labda ni kijana zaidi kwa sababu 65% ya watanzania ni vijana na hivi ndivyo vilivyomsaidia Mwinyi kushinda kule, wapiga kura ni vijana wether you like or not huo ndio ukweli, sasa huwezi ukawapelekea wapiga kura mtu ambae sio saizi yao.
Maneno yanauma lakini si mmeniomba niseme hapa, mimi nilikuwa nimekaa kimya tu leo nisiseme, nilikuwa nachomekea tu.
Sikiliza mzee.Kinachoamua mtu kuwa Rais ni katiba na wala siyo Magufuli
CCM wako juu ya katiba ya nchi hata wawapangie wanachama wao umri wa kuwa Rais?Unaelewa kuwa katiba za vyama hazipaswi kuwa juu ya katiba ya nchi?Sikiliza mzee.
Atakayepitishwa na CCM ndiye atakayekuja kuwa rais.
Katiba ipo na itaendelea kuheshimiwa sana na kulindwa
Kwan waliosema Lissu hawezi kuwa Rais walivunja katiba?CCM wako juu ya katiba ya nchi hata wawapangie wanachama wao umri wa kuwa Rais?Unaelewa kuwa katiba za vyama hazipaswi kuwa juu ya katiba ya nchi?
Katiba haina uamuzi bali inaweka vigezo, wenye uamuzi ni wananchi!Kinachoamua mtu kuwa Rais ni katiba na wala siyo Magufuli
Hayo ni maneno yako bali sio utaratibu wa CCM!Atakuwa ameudhi watu wengi wa CCM kwa hii kauli. Wakome! Hili Bunge la sasa wabunge wote wameupata ubunge kwa ridhaa yake. CCM wakachekelea wakasema Lissu na Chadema wamekomolewa! Ona sasa.. wamemlea wee mpaka sasa hivi amefikia hatua ya kuamua ni nani awe rais na nani asiwe! Na bado. Na hatanii kweli. Atakachofanya ni atam-point mtu anayemtaka kwa kidole na kwenye kura atapenyeza tena kura kama alivyofanya huu uchaguzi. Walifikiri upinzani ndiyo unakomolewa kumbe dawa yao iko jikoni!
Umeelewa kilichoandikwa hapo?Unajua kusoma?Unaelewa kuwa tunajadili kauli ya Magufuli inayozungumzia mambo ya umri katika Urais?Waliosema kuwa Lissu hawezi kuwa Rais kwani walisema hivyo kutokana na umri wake?Kwan waliosema Lissu hawezi kuwa Rais walivunja katiba?
Mkuu unajipa stress za buree.CCM wako juu ya katiba ya nchi hata wawapangie wanachama wao umri wa kuwa Rais?Unaelewa kuwa katiba za vyama hazipaswi kuwa juu ya katiba ya nchi?
Haya tueleze nini mipango ya Chadema, short term and long term basi, hatuwezi unga mkono bila sababu, mana ilani yenu hatukukubaliana nayo ndo mana tuliwanyima kuraShuleni ulichokitoa ni neno succession plan
Kwa hiyo hata Kikwete hakufua dafu pia?Mkuu unajipa stress za buree.
Tulia angalia mchezo.
Hakuna rais aliyewahi kuweka swahiba wake kwenye mirathi ya cheo hiko.
Hata Mwalimu alikwama
Swadakta!!
[emoji106]
Marekani majority yao Wana miaka 70-78?Marekani wana wazee wengi mana wanaishi maisha marefu compared na nchi za kiafrika vijana ni wengi kama unataka kushinda kirahisi weka kijana unless kama unataka shida
Acha bangiKwa kuwa hakuna mwenye sifa ya kupeperusha bendera ya chama 2025 nashauri mzee baba aendeleze tu kijiti maana ana sifa zote za kuwa kim un Jung!!
[emoji23][emoji23][emoji23]Chadema wataanza kuongelea Urais miezi mitatu kabla ya uchaguzi hahaha... succession plan muhimu wakati kazi zingine zinaendelea
hatuna namna mkuu maana nchi wanaipeleka kwa utashi wao na sio kwa mapenzi ya raia.,.Acha bangi
Nchi yote hii hakuna mwenye sifa?