Rais Magufuli: Lukuvi hawezi kuwa Mgombea urais wa CCM 2025 kwa sababu ana umri mkubwa. Ni fursa ya Vijana

Viongozi hawawa ccm wamekosa haya badala ya kuomgelea issues zinazowakabili wananchi wanaongelea vyeo na madaraka ya kulevya ivyo kabisa..Tz tulikosea sana..mara mke wangu ananipa raha hopeless peanut heads!
 
Something is wrong kwenye brain pengine.
Tumwonee huruma tu, hajui alisemalo wala alitendalo.
 
Hii ngoma italeta fujo sana ndani ya chama...kama alienda awamu ya kwanza vizuri asidhan awamu hii ya mwisho kuna wataomwonea aibu
 
Nanialiyewaambiwa wewe na yeye kuwa vijana wanapenda Rais kijana? Unatetea kauli isiyo na maana kutoka kwa Rais, labda kwa sababu mmemgeuza kuwa mungu!
 
Well, it is not the first time ndugu huyu kuisigina Katiba hadharani.

Labda hiki anachokisema kinaihusu CCM zaidi na ndio mpango wao. Vyama vingine bado vinaweza kwenda na watu kama Cheyo, Mrema, Lipumba, Maalim Seif etc
kuna kipindi anaongea kama Rais na kingine kama mwenyekiti elewa hivyo kasema Central Commetee sio kwenye JMT kha ndugu mbona kazi ndogo kulitambua hilo,kwan toka lini Rais anachagua Mgombea Urais kwa vyama vyote na ndiye anakuwa kapita.

Kwa utaratibu wao wa Chama hatapenda kumuona mtia nia wa Urais anaemzidi umri hilo nalo linahitaji PHD.
 
Ni nani wa kwenda mbele na kumpa ushauri huyo mzee wa watu, unadhani hata hao unaosema ni washauri hawajipendi?

Acha katiba isiginwe waliotaka tufike hapa najua mmojawapo anajuta japo mwingine ameshatangulizwa mbele ya giza nene kusubiri hukumu ya watu walio hai na wafu.

Washauri wa Rais jaribuni kumshauri Bwana Mkubwa kuna kauli akizisema ninaleta mtafaruku mkubwa sana katika jamii.
 
Jamaa ni mbabe na kwa maneno yake inamaanisha kuwa hao Marais hawachaguliwi na wananchi bali na system. Hivyo kwa wale wanaojiandaa kugombea, hakuna cha bahati bali kuna mpango tayari ......!!
Utaratibu wa kuchaguana nchini kwetu ni justification tu...makaratasi hayamchagui Rais wako ewe mtanzania...pigania hakinyako ya kikatiba
 
Lukuvi alimkodi Harmonize akampa milioni 60 aende akaimbe Isimani wakati wapiga kura wake hata uhakika wa maji hawana.

Ikumbukwe Lukuvi ni mbunge wa Isimani kwa miaka 20 mfululizo.
Hii millioni 60 imeondowa kuaminika kwa ulichokiandika.

Yani Lukuvi ampe mkata viuno million 60 kuomba ubunge ambao matokeo tayari yameandaliwa na mkurugenzi?
 
Hakuna katiba, chama kimeshika hatamu, mlidhani mnawakomowa vyama vya upinzani?

Ni lazima kila mtu atanena kwa lugha tu.
 
Hii millioni 60 imeondowa kuaminika kwa ulichokiandika.

Yani Lukuvi ampe mkata viuno million 60 kuomba ubunge ambao matokeo tayari yameandaliwa na mkurugenzi?
Sasa hapo unabisha nini mkuu? Unajua gharama za kumkodi Harmonize na kundi lake aende Iringa tena vijijini ni sh.ngapi?
 
Kwa kauli hiyo, sasa vijana wa CCM wataanza kujikomba komba kwa mzee, kulamba viatu na kuchongeleana, majungu nk - yaani kila mmoja kwa style yake ili mradi tu kujaribu kumfurahisha mzee kuelekea 2025...
Magufuli hataki Yale Mambo ya Maalim Seif aliyomfanyia About Jumbe, ila Mwalimu Nyerere akamkatilia mbali akakimbilia upinzani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…