Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
LisuMajaliwa je? Naona wagombea hapo ni Jaffo, January, Mwingulu.
Ongeza wengine
Something is wrong kwenye brain pengine.Kabudi kashaambiwa hawezi kuwa Rais...macho yamemmchomoka yakagonga kwenye lensi...yakarudi kwenye soketi
Kama sio miwani kuzuia saa hii tungeshasema mengine
Ila JPM sio poa kuwananga wanaomzidi umri, mbona Joe Biden kawa Rais na miaka 78.!
Au dhambi ya ubaguzi inaendelea.?
Kwani jimbo la Isimani limeasisiwa lini?Alikuwa RC na alikuwa mbunge pia. Tangu 1995 Lukuvi hajawahi kosa Ubunge chief. Mimi ni mwanajimbo wake.
Magu hatoki subiri karibu na mwishoWapinzani bhana, sio mda mrefu walikua wanasema Magufuli hatoki madarakani atakua Rais wa milele! Leo katoa kauli wanasema Rais kamuandaa mtu wake... kuamini wapinzani inataka moyo sana
Majaliwa je? Naona wagombea hapo ni Jaffo, January, Mwingulu.
Ongeza wengine
Sawa tupige ramli... Subiri akitanganza anatoka ndo wapinzani waandae mgombeaMagu hatoki subiri karibu na mwisho
Nanialiyewaambiwa wewe na yeye kuwa vijana wanapenda Rais kijana? Unatetea kauli isiyo na maana kutoka kwa Rais, labda kwa sababu mmemgeuza kuwa mungu!... kigezo alichotumia ni 60% ya watanzania ni vijana hivyo Rais ajaye lazima atokane na kundi hilo. Kisichofafanuliwa ni ujana unaanzia miaka mingapi hadi mingapi! Otherwise it seems yeyote mwenye age sawa na or less than his ni kijana! Hayo ya Katiba unayajua wewe Chief.
kuna kipindi anaongea kama Rais na kingine kama mwenyekiti elewa hivyo kasema Central Commetee sio kwenye JMT kha ndugu mbona kazi ndogo kulitambua hilo,kwan toka lini Rais anachagua Mgombea Urais kwa vyama vyote na ndiye anakuwa kapita.Well, it is not the first time ndugu huyu kuisigina Katiba hadharani.
Labda hiki anachokisema kinaihusu CCM zaidi na ndio mpango wao. Vyama vingine bado vinaweza kwenda na watu kama Cheyo, Mrema, Lipumba, Maalim Seif etc
Washauri wa Rais jaribuni kumshauri Bwana Mkubwa kuna kauli akizisema ninaleta mtafaruku mkubwa sana katika jamii.
Hapo anaandaliwa Majaliwa Kassim Majaliwa.Majaliwa je? Naona wagombea hapo ni Jaffo, January, Mwingulu.
Ongeza wengine
Utaratibu wa kuchaguana nchini kwetu ni justification tu...makaratasi hayamchagui Rais wako ewe mtanzania...pigania hakinyako ya kikatibaJamaa ni mbabe na kwa maneno yake inamaanisha kuwa hao Marais hawachaguliwi na wananchi bali na system. Hivyo kwa wale wanaojiandaa kugombea, hakuna cha bahati bali kuna mpango tayari ......!!
Ngoma itakuwa nzito kwani 2025 itakuwa na changamoto kubwa.Majaliwa je? Naona wagombea hapo ni Jaffo, January, Mwingulu.
Ongeza wengine
Hii millioni 60 imeondowa kuaminika kwa ulichokiandika.Lukuvi alimkodi Harmonize akampa milioni 60 aende akaimbe Isimani wakati wapiga kura wake hata uhakika wa maji hawana.
Ikumbukwe Lukuvi ni mbunge wa Isimani kwa miaka 20 mfululizo.
Hakuna katiba, chama kimeshika hatamu, mlidhani mnawakomowa vyama vya upinzani?Kitendo cha Mh Rais kutamka hadharani kuwa mtu yeyote aliyemzidi umri asijidanganye kuomba nafasi hiyo ni kwenda kinyume kabisa na katiba ya Nchi.
Hakuna sehemu katika katiba ya Nchi yetu inayomkataza mtu yeyote kugombea nafasi ya Urais kwa kigezo cha umri mkubwa.
Washauri wa Rais jaribuni kumshauri Bwana Mkubwa kuna kauli akizisema ninaleta mtafaruku mkubwa sana katika jamii.
Sasa hapo unabisha nini mkuu? Unajua gharama za kumkodi Harmonize na kundi lake aende Iringa tena vijijini ni sh.ngapi?Hii millioni 60 imeondowa kuaminika kwa ulichokiandika.
Yani Lukuvi ampe mkata viuno million 60 kuomba ubunge ambao matokeo tayari yameandaliwa na mkurugenzi?
Magufuli hataki Yale Mambo ya Maalim Seif aliyomfanyia About Jumbe, ila Mwalimu Nyerere akamkatilia mbali akakimbilia upinzani.Kwa kauli hiyo, sasa vijana wa CCM wataanza kujikomba komba kwa mzee, kulamba viatu na kuchongeleana, majungu nk - yaani kila mmoja kwa style yake ili mradi tu kujaribu kumfurahisha mzee kuelekea 2025...