Blackcornshman
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 6,514
- 15,701
Wakati wengine wanakimbia Nchi wengine wanapanga mikakati ya nani awe Rais 2025 alafu wanashangaa kwa nini CCM inawatawala.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka gani Lukuvi aliwahi kuwa RC wa Dares salaam?2005-2010 William Lukuvi alikosa Ubunge, hivyo katika muda huo akawa RC wa Dodoma na Dar es Salaam.
Tuweke sawa kumbukumbu zetu
Kumbuka Rais uwe na degree. Je Lukuvi anayo kutoka chuo kipi?Tayari atakuwa na mtu wake anayemuandaa. Otherwise hakuna sababu ya kuwazuia au kuwanyima haki yao ya kugombea kama wana uwezo.
Biden sasa anapiga 78 na amechaguliwa kwa kishindo ..... why not Kabudi or Lukuvi?
Kwahiyo katiba ina mipaka ndani ya chama?Yeye amesema chama Cha mapinduzi (CCM) yeye Kama mwenyekiti hawawezi kumpitisha aliyempita umri, rejea hata mh. Mstaafu JK alisema hivyo. kwahiyo hapo Katiba haihusiki, usi-genaralize. Bali ni ndani ya chama na utaratibu wao.
Nani kakwambia ni lazima?Siyo kweli. Rais ajaye lazima awe Muislam
2005-2010 William Lukuvi alikosa Ubunge, hivyo katika muda huo akawa RC wa Dodoma na Dar es Salaam.
Tuweke sawa kumbukumbu zetu
Watu wakishajua unatoka hata ile aibu inaondoka, Na kwa kauli hii ya leo ya namba moja tutegemee magenge tayari yatakuwa yameanza kujiunda ili Kuhakikisha yanashika power hio 2025, Mzee baba kuongea ivo leo ni kama ame initiate, Hata amini kabisa reaction ya hawa wanao mlamba miguu kwa sasa.Hii ngoma italeta fujo sana ndani ya chama...kama alienda awamu ya kwanza vizuri asidhan awamu hii ya mwisho kuna wataomwonea aibu
Tena walivyo wajinga watatupiwa tu Kapi mwezi kabla ya Uchaguzi lije liwazike kabisaChadema wataanza kuongelea Urais miezi mitatu kabla ya uchaguzi hahaha... succession plan muhimu wakati kazi zingine zinaendelea
Huyu mhutu ameapa juzi tu kuilinda katiba ya JMT. Leo hii anaisigina katiba hiyohiyo kwa kutamka jambo nyeti ambalo katiba halijaweka ukomo wake. Amekuwa akiisigina katiba mara kwa mara kipindi cha miaka 5 iliyopita. Sasa dalili zinaonesha hakuna mabadiliko kipindi hiki pia.Kitendo cha Mh Rais kutamka hadharani kuwa mtu yeyote aliyemzidi umri asijidanganye kuomba nafasi hiyo ni kwenda kinyume kabisa na katiba ya Nchi..
Labda kama neno "Mfumo" limepoteza maana yake halisi.Haya maneno hata Jakaya aliyaongea na ikawa alikataa kumuachia mtu wa umri zaidi yake.Unachosahau ni kwamba ccm ndiyo chama kinachotoa rais wengine wasindikizaji.Rejea chaguzi za 1995 2000,2005,2010 na 2015
Leo alikuwa anaongea kama mwenyekiti wa ccm.Nani anaweza kubishana na mwenyekiti?????????? Hiyo ndiyo ccm chama chenye mifumo thabiti
Wewe umesha fanyia nini jamii inayo kuzunguka au hata tu familia yako..yamkini hata familia imesha kushinda afu unakazana kutoa kibanzi cha mwenzioLukuvi alimkodi Harmonize akampa milioni 60 aende akaimbe Isimani wakati wapiga kura wake hata uhakika wa maji hawana.
Ikumbukwe Lukuvi ni mbunge wa Isimani kwa miaka 20 mfululizo.
Mkuu uko sahihi. Refa wa mchezo huu ni Mungu pekee, anaweza kumpa mtu red card hata asiwepo kushuhudia hayo anayo yapanga sasa.Cheo na madaraka hupangwa na Mungu mwanadamu hawezi zuia muda wa Mungu ukifika..... Joe Biden amehangaika kusaka Urais tangia mwaka 1988 zaidi ya miaka 32 lakini Mungu akaja kumpa wakati ana miaka 77. Ogopa sana mipango ya Allah, aliwahi kumruzuku mtoto Nabii Ibrahim akiwa mzee aliyekongoroka hata mkewe hakuamini...... Neema ya Mungu haiwezi kupingwa na mwanadamu
umesomeka mkuuAcha kupotosha wewe, tangu mwaka 1995 mpaka leo 2020, mheshimiwa Lukuvi ni mbunge wa jimbo la Isimani, Iringa
Mwaka 2005-2010 alikuwa ni mkuu wa mkoa wa Dodoma na baadaye Dar es Salaam huku akiwa ni mbunge pia
Kumbukumbu zaoneshaMwaka gani Lukuvi aliwahi kuwa RC wa Dares salaam?