Rais Magufuli: Lukuvi hawezi kuwa Mgombea urais wa CCM 2025 kwa sababu ana umri mkubwa. Ni fursa ya Vijana

Ina maana mzee baba hatobadilisha katiba ili aendelee kubaki madarakani? Sisi wapiga ramli kwamba ataendelea kubakia madarakani tutaambia nini watu?
 
Huo ndo ukweli hata kama ni mchungu. Watanzania ni wabishi sana. Wanamhitaji Rais mwenye nguvu kimwili na kiakili. Huwezi kumweka mtu mwenye miaka 80. Nchi hii inahitaji mtu mwenye nguvu na mbabe kidogo. Hili hata Mbowe na Mnyika wanalielewa. Waliomba sana kipindi cha Kikwete nchi ije impate mbabe kiaina.
 
Wewe ni mtu mbadi sana
 
Hadi ifike 2025 tutaona na kusikia mengi kutoka chama cha wakwapuaji kura na hapa ndio kwanza movie imeanza.
 
Lissu alishasemaga "hakuna aliye salama, wakitumaliza upinzani watafata wao kwa wao kufarakana
 
Sifa zote anazo, muadilifu, mzalendo, mchapakazi, nk lakini sasa shida kazaliwa kabla ya Magufuli!. Hafai kuwa Rais huyo [emoji2][emoji2]
 
Majaliwa je? Naona wagombea hapo ni Jaffo, January, Mwingulu.
Ongeza wengine
Baada ya kuwashughulikia ipasavyo wapinzani sasa mnajipangia marais wajao kwa raha zenu, vipi konde boy hafai kuwa Rais 2025? 😂😂
 
Lukuvi alimkodi Harmonize akampa milioni 60 aende akaimbe Isimani wakati wapiga kura wake hata uhakika wa maji hawana.

Ikumbukwe Lukuvi ni mbunge wa Isimani kwa miaka 20 mfululizo.
Kama kweli alitoa huu mlungula, basi naapa kwa mizimu ya Yericko asipewe hata unaibu waziri!!!
 
Umesema kweli kabisa. Kama tumeshindwa kukombolewa na Lissu, basi kwisha habari yetu.
Kama ulivyosema Mtanzania akipata mihogo ya watoto, jioni akapata kahawa na mwanamke, basi inatosha ...... tumefikishwa hapo. Majitu mazima yanamuita Jiwe Yesu...
 
Katiba haina ukomo wa juu wa umri kwa mgombea, labda wabadirishe katiba.
Anaongelea CCM huyu. Vyama vingine nadhani hata Babu wa 82 years inaweza kuwa sawa, as per Katiba zao

Halafu kwanini kawasingle out Lukuvi na Kabudi? Vita ya Urais wa 2025 imeanza mapema
 
Marehemu Komba alipotunga wimbo wa kuisoma namba wengi, akiwemo yeye mwenyewe, walidhani namba itasomwa kwa wapinzani peke yao. Huko waliko wanajuutaaa nakuambia.... [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…