residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,146
- 11,434
Kuna watu huwa wanakurupuka bila ya kuwa na taarifa sahihi.Nani alikuwa mbunge wa Isimani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna watu huwa wanakurupuka bila ya kuwa na taarifa sahihi.Nani alikuwa mbunge wa Isimani?
Alikuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kipindi gani?
Huo ndo ukweli hata kama ni mchungu. Watanzania ni wabishi sana. Wanamhitaji Rais mwenye nguvu kimwili na kiakili. Huwezi kumweka mtu mwenye miaka 80. Nchi hii inahitaji mtu mwenye nguvu na mbabe kidogo. Hili hata Mbowe na Mnyika wanalielewa. Waliomba sana kipindi cha Kikwete nchi ije impate mbabe kiaina.Kitendo cha Mh Rais kutamka hadharani kuwa mtu yeyote aliyemzidi umri asijidanganye kuomba nafasi hiyo ni kwenda kinyume kabisa na katiba ya Nchi.
Hakuna sehemu katika katiba ya Nchi yetu inayomkataza mtu yeyote kugombea nafasi ya Urais kwa kigezo cha umri mkubwa.
Washauri wa Rais jaribuni kumshauri Bwana Mkubwa kuna kauli akizisema ninaleta mtafaruku mkubwa sana katika jamii.
Wewe ni mtu mbadi sanaKabudi kashaambiwa hawezi kuwa Rais...macho yamemmchomoka yakagonga kwenye lensi...yakarudi kwenye soketi
Kama sio miwani kuzuia saa hii tungeshasema mengine
Ila JPM sio poa kuwananga wanaomzidi umri, mbona Joe Biden kawa Rais na miaka 78.!
Au dhambi ya ubaguzi inaendelea.?
Kwa jinsi watu wanavyo changia naona asilimia chache saana wamemwelewa Rais, ngoja niendelee kufuatilia,
"Haya mambo yanapangwa" [emoji118]
Ku groom vijana ni succession plan toshaNiambie kwa Tanganyika - Tanzania na Zanzibar,ni lini na wapi kulikuwa na succession plan!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitajie vijana watatu ambao wapo "groomed".Ku groom vijana ni succession plan tosha
Baada ya kuwashughulikia ipasavyo wapinzani sasa mnajipangia marais wajao kwa raha zenu, vipi konde boy hafai kuwa Rais 2025? 😂😂Majaliwa je? Naona wagombea hapo ni Jaffo, January, Mwingulu.
Ongeza wengine
Kuna tofauti ya "grooming" na kumpa mtu nafasi kwa kumteua.Ku groom vijana ni succession plan tosha
Masihara masihara mambo yanaanza hivi hiviAnamaanisha Bashite?
Kama kweli alitoa huu mlungula, basi naapa kwa mizimu ya Yericko asipewe hata unaibu waziri!!!Lukuvi alimkodi Harmonize akampa milioni 60 aende akaimbe Isimani wakati wapiga kura wake hata uhakika wa maji hawana.
Ikumbukwe Lukuvi ni mbunge wa Isimani kwa miaka 20 mfululizo.
Umesema kweli kabisa. Kama tumeshindwa kukombolewa na Lissu, basi kwisha habari yetu.Tough times ahead, kama unaweza kupata hata kikazi cha kuosha vikongwe Ulaya sepa.
Mpaka wabongo waje kujitambua na kuanza kupigania nchi yao, siyo leo wala kesho na hilo genge litakuwa limeshakita Mizizi mizito.
Maana Mbongo mpe Chakula akishiba mpe Pombe, ukiweza kumpa na demu umemaliza, unamfanya Mateka akiwa hajielewi anakuabudu kuliko Mungu
Anaongelea CCM huyu. Vyama vingine nadhani hata Babu wa 82 years inaweza kuwa sawa, as per Katiba zaoKatiba haina ukomo wa juu wa umri kwa mgombea, labda wabadirishe katiba.
Sitetei ujinga upumbavu, nimetoa maoni yangu kama wewe unavyotoa mtazamo wako hapa.Unatetea ujinga pumbafu,whats the difference
Marehemu Komba alipotunga wimbo wa kuisoma namba wengi, akiwemo yeye mwenyewe, walidhani namba itasomwa kwa wapinzani peke yao. Huko waliko wanajuutaaa nakuambia.... [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kitendo cha Mh Rais kutamka hadharani kuwa mtu yeyote aliyemzidi umri asijidanganye kuomba nafasi hiyo ni kwenda kinyume kabisa na katiba ya Nchi.
Hakuna sehemu katika katiba ya Nchi yetu inayomkataza mtu yeyote kugombea nafasi ya Urais kwa kigezo cha umri mkubwa.
Washauri wa Rais jaribuni kumshauri Bwana Mkubwa kuna kauli akizisema ninaleta mtafaruku mkubwa sana katika jamii.