hata sifa za kuwa rais hana, ndio maana nasema hii nchi ni ya watu wajinga watupuUyo jamaa simtaki kabisa,
rangi yake halisi niliiona alvokua mambo ya ndani
Nyomi na moto wa Mrema haujapata kutokea. Hata Lowassa ilikuwa zaidi ya Lissu.Umesema kweli kabisa. Kama tumeshindwa kukombolewa na Lisu, basi kwisha habari yetu...
Binafsi nimejifunza mengi ndani ya utawala huu, najaribu kujifunza pia roho mbaya na kutowaamini watu.Umesema kweli kabisa. Kama tumeshindwa kukombolewa na Lisu, basi kwisha habari yetu.
Kama ulivyosema Mtanzania akipata mihogo ya watot, jioni akapata kahawa , na mwanamke, basi inatosha ...... tumefikishwa hapo. Majitu mazima yanamuita Jiwe Yesu...
CCM haina lolote kama chama.Nyomi na moto wa Mrema haujapata kutokea. Hata Lowassa ilikuwa zaidi ya Lissu.
Bahati mbaya sana CCM na vyombo vyake wanajua wapi, namna gani na muda gani wafanye yao ili kutwaa Nchi. Hii circle inaweza kuendelea mpaka kizazi chetu hiki kitakapotoweka hapa duniani
El Maestro upinzani wa bongo Ni miyeyushoWapinzani bhana, sio mda mrefu walikua wanasema Magufuli hatoki madarakani atakua Rais wa milele! Leo katoa kauli wanasema Rais kamuandaa mtu wake... kuamini wapinzani inataka moyo sana
CCM na dola ni chanda na pete. Hujaona majaji na RPCs wastaafu wakichukua form za uchaguzi CCM? Hawa walikuwa wanachama watiifu kitambo sanaCCM haina lolote kama chama.
Uchaguzi wa mwaka huu umeporwa na Dola.
Yes, hicho ndicho waluchofanikiwa kufanya.CCM na dola ni chanda na pete. Hujaona majaji na RPCs wastaafu wakichukua form za uchaguzi CCM? Hawa walikuwa wanachama watiifu kitambo sana
Mi namtaka Makonda basi,kwingine huko ni kupotezeana muda.Mwenyekiti wa CCM Rais Magufuli amesema uchaguzi mkuu wa 2025 utatoa fursa kwa vijana kwa sababu zaidi ya 65% ya wapiga kura ni vijana
Rais Magufuli ametoa mfano wa mh Lukuvi kwamba hawezi kuwa Rais wa JMT 2025 kwa sababu atakuwa na miaka zaidi ya 70.
Maendeleo hayana vyama!
=======
RAIS MAGUFULI: Hakuna mtu alitegemea Mwinyi atakuwa Rais wa Zanzibar lakini pia Mwinyi katika kipindi chake chote hakuutafuta Urais, vitu hivi vinapangwa. Hakuna mtu alijua profesa Ibrahim atakuwa Jaji mkuu wa Tanzania hata mimi sikujua kama nitakuwa Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Kwa sababu katika miaka yote ishirini nikiwa waziri na nikiwa mbunge sikuwahi kuomba hata ujumbe wa NEC.
Sikuwahi, wajumbe wa NEC walikuwa wakina Lukuvi, tangu aingie mle ni mjumbe wa NEC lakini Urais hakuupata na sina uhakika kama ataupata Urais. Wewe sasa hivi ana miaka sitini na kitu, tukapendekeze kwenye central committee tukachague Rais anaenizidi umri mimi, ndio ukweli.
Maneno mengine yanaumiza lakini nataka niwaeleze muwe mnajitayarisha kisaikolojia kusudi msipoteze hata hela zenu, hata wewe profesa Kabudi huwezi ukawa Rais, najua haya mambo ni magumu lakini huo ndio ukweli.
Mzee Kikwete wakati anaondoka, alisema hataona Rais ambae anamzidi umri wake, sasa muangalie mimi nina umri gani nitakapokuwa namaliza, ujipimie kuanzia kwenye umri pale. Yaani Malecela tumpendekeze awe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, haiwezekani! Ameshakuwa mstaafu, tunamheshimu, tunampenda.
Najua mmenyamaza kwa hiyo inawezekana umekaa na jirani yako ambae ndie atakuwa Rais ambae labda ni kijana zaidi kwa sababu 65% ya watanzania ni vijana na hivi ndivyo vilivyomsaidia Mwinyi kushinda kule, wapiga kura ni vijana wether you like or not huo ndio ukweli, sasa huwezi ukawapelekea wapiga kura mtu ambae sio saizi yao.
Maneno yanauma lakini si mmeniomba niseme hapa, mimi nilikuwa nimekaa kimya tu leo nisiseme, nilikuwa nachomekea tu.
Kwahyo mungufool ndo kipimo cha umri wa anayetaka kuwa rais?Ukiwa sasa una umri zaidi ya Dr Magufuli basi urais CCM sahau labda ukajaribu Ufipa!
Miaka mitano bado Sana , hata hivyo chaguzi kwa Sasa sioni Kama Zina maana yoyote, ila pamoja na yote mshishangae kipindi hicho,MACKONDA akapitishwa na chama, hacha wanyukane sisi yetu machoMajaliwa je? Naona wagombea hapo ni Jaffo, January, Mwingulu.
Ongeza wengine
Nyerere alituroga akatumaliza....Binafsi nimejifunza mengi ndani ya utawala huu, najaribu kujifunza pia roho mbaya na kutowaamini watu.
Unakuta anakuomba Jero, au muuza kahawa yuko busy na Mitano Tena.
Wenfine wakipewa elfu 5 ndio basi tena, wanachukulia siasa kama ushabiki wa mpira.
Nadhani katika hili Watu maarufu wanawajua wabongo vizuri, wao wameamua ku-side na mwenye uwezo wa kuwapa pesa, fursa na vyeo basi.
Mostly wabongo wako hoiii, fo fofo. Ndio maana watu wenye akili wanapata tabu sana nchi hii
Acheni mambo ya kinganga kanga hapa. Rais alikuwa analopoka tu lakini sio kuwa kitu cha kukitilia maanani. Yeye sio mungu na wala sio malaika. Saa nyingine yanaweza yakamtoka tu mambo.Kitendo cha Mh Rais kutamka hadharani kuwa mtu yeyote aliyemzidi umri asijidanganye kuomba nafasi hiyo ni kwenda kinyume kabisa na katiba ya Nchi.
Hakuna sehemu katika katiba ya Nchi yetu inayomkataza mtu yeyote kugombea nafasi ya Urais kwa kigezo cha umri mkubwa.
Washauri wa Rais jaribuni kumshauri Bwana Mkubwa kuna kauli akizisema ninaleta mtafaruku mkubwa sana katika jamii.
Uwaziri atapewa ila urais hapanaKama kweli alitoa huu mlungula, basi naapa kwa mizimu ya Yericko asipewe hata unaibu waziri!!!
Umesahau kipindi kile watu walikuwa na vyeo hata 20.Alikuwa Mkuu wa mkoa wa dar es salaam kipindi gani?
Mimi ni mzawa wa Nyaruland...Kumbe na wewe ulimuamini Msigwa..!! Maskini ya Mungu
Ndio hapo sasa hapo ukimwambia kuwa Lukuvi ana miaka zaidi ya 20 ya ubunge anabisha. Ukimuuliza Lukuvi aliingia lini bungeni hana jibu ha ha ha, ubishi ni kipaji.