Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ulimsikia waziri mkuu amelizungumzia tatizo la bei ya cement, sasa kulikua na haja gani kwa JPM kurudia kuzungumzia tatizo hilo wakati limeshazungumziwa na waziri??Namuongelea huyu dikteta ,PM nimemsikia mkuu
Aongelee changamoto nyingine mbona ziko nyingi tu,ajira nk sio urais 2025 ambao hata yeye huenda asiwepo duniani au laKumbe ulimsikia waziri mkuu amelizungumzia tatizo la bei ya cement, sasa kulikua na haja gani kwa JPM kurudia kuzungumzia tatizo hilo wakati limeshazungumziwa na waziri??
Haya ww unaeijua vyema CCM.Huyu jamaa anataka wamuundie mkakati.. itakula kwake. Haijui CCM.
Mm, ww, dr kumbuka, mpaka raisi JPM tuna haki ya kutoa maoni yetu hadharaniNi mropokaji mdomo hauna breki kama dokta fumbuka
Utajuwa ukikuwa.Afadhali loo
Tanzania tusiwe na marais vikongwe kama Marekani kwa vikongwe akina Trump na BIDEN
Vizee vikongwe bado vinataka urais
Mwigulu alivyofurahi baada ya kusikia Rais ajae hawezi kumzidi umri Magu.
Amevianzisha semaMh..vita ya urais imeanza mapema sipati picha hadi kufikia 2025 sjui itakuwaje
Akina Lukuvi na watu waliomzidi umri wana haki ya kugombea uraisi.Alipoomba urais kundi kubwa la vijana lilikuwa asilimia ngapi? Tunapata rais wa nchi kwa legal processes na uwezo wa mtu kiutawala
Ujana tu hauwezi kuwa qualifications - anyway remain silent huenda nikawa mimi
Changamoto zote, au hiyo ya ajira uliyoitolea mfano, zitaendelea kuwepo hapa duniani.Aongelee changamoto nyingine mbona ziko nyingi tu,ajira nk sio urais 2025 ambao hata yeye huenda asiwepo duniani au la
Ahahahahah kabisa,pale Kino kwa wala mapupuUkiwa sasa una umri zaidi ya Dr Magufuli basi urais CCM sahau labda ukajaribu Ufipa!
Hao vijana tafiti inaonesha wanae tamaaaMaana yake ni kuwa Mwenyekiti ameshaandaa mtu wake ambaye ni kijana. Vijana wa mwaka 82 inawahusu hii
Makonda na GwajimaMajaliwa je? Naona wagombea hapo ni Jaffo, January, Mwingulu.
Ongeza wengine
Nakazia hapo "wisdom"Kama wapiga kura 65% ni vijana na logic ni Rais awe kijana, kumbe Lukuvi hakustahili kuwa Mbunge pia maana jimboni kwake vijana wako 65%. Kwa tamko hilo inaonekana bora ajiuzuru maana atawaongozaje vijana ilihali amechoka? Kwa hiyo Urais ni kubeba mawe au matofari? Huu ni ubaguzi wa kiumri.
Mimi nafikiri Urais ni Taasisi ambayo inafaa mtu mwenye maono na hekima bila kujali umuri, ndiyo maana America wamemchagu Biden (77) wakamwangusha Trump (74) kwa hiyo kwangu mimi umri si kigezo maalum cha kuwa Rais.