Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

😱😱😱😱😱😱 hari inatisha kwakweli hadi kwenye papai na mbuzi, it seems like we have advanced technology than any developed country
Teknolojia bila akili Ni ujinga mtupu
Wao wametupa teknolojia ya kupiga corona Raisi ka challenge hiyo.teknolojia sababu ana akili
 
Mkuu weka akiba ya uongo hakuna mahaki kataja vitunguu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimewaza nini kimepelekea kupima sample za wanyama na mimea kuona kama zina corona,,

Huenda vipimo vinaonyesha idadi kubwa ya maambukizi hadi serikali imepata hofu.
Kila mtu achukue hatua kulingana na ufahamu wake unavyomtuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana hivi vipimo vya kuchukulia swab kwenye koo na pua vikawa na corona kabisa. Rais asipuuzwe kwenye hili utafiti ufanyike haraka tutaambikiza Corona wagonjwa wetu wakati wa kuwaingizia kile kipamba kwenye koo na pua. Nasimama na Rais katika hili mpaka hapo itakapokuwa vinginevyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
May 3, 2020
Chato, Geita
Tanzania

RAISI MAGUFULI ASHANGAZWA NA VIPIMO VYA CORONAVIRUS VILIVYOFANYIKA"NI MAMBO YA AJABU"


Source : TANZA LIVE TV
 

Ndo maana Mbuzi wakawa Positive walahi
 
misasa mkuu una maoni gani juu ya hili hahahahaha..ila huyu rais katufanya sisi watoto aisee! Ama kweli huyu mzee kwa uongo tu ni professional. Anaonekana hata kwenye maisha yake ni mtu flani muongo muongo(mzee wa kamba)
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenzangu!?! kali sana hii...🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Watu wengi wanachangia hii Mada pasipo kuelewa Rais anamaanisha nini.
Rais Yeye analenga huwezo wa wataalum wetu , maabara zetu kupima huu Ugonjwa.

Kwahiyo kama nchi haina maabara yenye uwezo wa kupima kirusi cha korona nani alaumiwe? Nani aulizwe? Yeye kama Rais wa nchi anakwepaje lawama kwenye hili?

Okay we dare him alete vifaa, alete PPE, atuletee na wataalamu ili twende sawa uzuri anakiri kuwa corona ipo, yeye amejuaje kama ipo? Hata ajifanye mkali namna gani hawezi kututoa kwenye ukweli kuwa wakati ugonjwa umeingia nchini yeye alikimbilia chato, hili tumelipin kwenye mafaili kabisa [emoji3]
 
hatuna jinsi acha tufurahi
 
Na ndio maana kamteua Mwigulu nchemba, kuanzia Leo usitegemee kusikia wagonjwa wapya au waliofariki na covid-19

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teknolojia bila akili Ni ujinga mtupu
Wao wametupa teknolojia ya kupiga corona Raisi ka challenge hiyo.teknolojia sababu ana akili
our president ni kipanga asee naona hii itawazindua mataifa mengine wajipange
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…