Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

😱😱😱😱😱😱 hari inatisha kwakweli hadi kwenye papai na mbuzi, it seems like we have advanced technology than any developed country
Teknolojia bila akili Ni ujinga mtupu
Wao wametupa teknolojia ya kupiga corona Raisi ka challenge hiyo.teknolojia sababu ana akili
 
Nashangaa anawalaumu waliokuwa wanapima kule maabara ya kitaifa kuwa wanamhujumu, kwa kutoa matokeo positive Ya corona, anadai kuwa walionekana ni positive ni uongo, eti alipeleka sample Ya Mbuzi, papai, na vitunguu eti wale watu Wa maaabara ya taifa walimuhujumu, eti na hizo sample hao wa maaabara Walisema ni positive aiseee anaone kuwa hakuna corona anasema hata ligi ya mpira atairuhusu iendelee aisee huyu mzeee akishindwa Jambo anasingizia mabeberu na kuwa anazungukwa, yani hahahahaha, Halafu nashangaaa anaenda anasema corona kweli ipo halafu anasema vipimo ni vya uongo watu waliokuwa wanapima wachunguzwe yani mmmmh simwelewi

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu weka akiba ya uongo hakuna mahaki kataja vitunguu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimewaza nini kimepelekea kupima sample za wanyama na mimea kuona kama zina corona,,

Huenda vipimo vinaonyesha idadi kubwa ya maambukizi hadi serikali imepata hofu.
Kila mtu achukue hatua kulingana na ufahamu wake unavyomtuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inawezekana hivi vipimo vya kuchukulia swab kwenye koo na pua vikawa na corona kabisa. Rais asipuuzwe kwenye hili utafiti ufanyike haraka tutaambikiza Corona wagonjwa wetu wakati wa kuwaingizia kile kipamba kwenye koo na pua. Nasimama na Rais katika hili mpaka hapo itakapokuwa vinginevyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
May 3, 2020
Chato, Geita
Tanzania

RAISI MAGUFULI ASHANGAZWA NA VIPIMO VYA CORONAVIRUS VILIVYOFANYIKA"NI MAMBO YA AJABU"

Source : TANZA LIVE TV
Hii National Covid-19 Referral Laboratory jijini Dar es Salaam - Tujiulize hofu ya wataalamu wa maabara Kuu kufanyia kazi sampuli za kushukiwa za COVID-19 ni kutokana na mazingingira hatarishi ya maabara kukosa vifaa kinga, vifaa kazi, vifaa batili / feki toka nje au ni uzembe wa wakuu wa Maabara ya Taifa. Tuliona madaktari na manesi wakikimbia washukiwa wa ugonjwa wa corona labda hata hawa Laboratory technicians wanahofia maisha yao kutokana na sekta ya afya kukosa vifaa vya kuwakinga na maambukizi kutokana na serikali kutowekeza ipasavyo ktk sekta hii ya afya
 
412A5CE9-1473-46FF-B667-8EADB926333D-4294-0000076727A635C3.jpg

Ndo maana Mbuzi wakawa Positive walahi
 
misasa mkuu una maoni gani juu ya hili hahahahaha..ila huyu rais katufanya sisi watoto aisee! Ama kweli huyu mzee kwa uongo tu ni professional. Anaonekana hata kwenye maisha yake ni mtu flani muongo muongo(mzee wa kamba)
Duuuh! sasa mananasi na mafenesi yana damu au hizo sampuli zake zilipenyezwa vipi ina maana hao waliokuwa wakipima walikuwa hawaoni na hawajui kuwa hizi sampuli siyo za binadamu jamani??

This dude seem to be so naive and ignorant!!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenzangu!?! kali sana hii...🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Watu wengi wanachangia hii Mada pasipo kuelewa Rais anamaanisha nini.
Rais Yeye analenga huwezo wa wataalum wetu , maabara zetu kupima huu Ugonjwa.

Kwahiyo kama nchi haina maabara yenye uwezo wa kupima kirusi cha korona nani alaumiwe? Nani aulizwe? Yeye kama Rais wa nchi anakwepaje lawama kwenye hili?

Okay we dare him alete vifaa, alete PPE, atuletee na wataalamu ili twende sawa uzuri anakiri kuwa corona ipo, yeye amejuaje kama ipo? Hata ajifanye mkali namna gani hawezi kututoa kwenye ukweli kuwa wakati ugonjwa umeingia nchini yeye alikimbilia chato, hili tumelipin kwenye mafaili kabisa [emoji3]
 
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 sijui kama nimeshawahi kucheka JF kama leo, mkuu umetisha sana
hatuna jinsi acha tufurahi
 
Nashangaa anawalaumu waliokuwa wanapima kule maabara ya kitaifa kuwa wanamhujumu, kwa kutoa matokeo positive Ya corona, anadai kuwa walionekana ni positive ni uongo, eti alipeleka sample Ya Mbuzi, papai, na vitunguu eti wale watu Wa maaabara ya taifa walimuhujumu, eti na hizo sample hao wa maaabara Walisema ni positive aiseee anaone kuwa hakuna corona anasema hata ligi ya mpira atairuhusu iendelee aisee huyu mzeee akishindwa Jambo anasingizia mabeberu na kuwa anazungukwa, yani hahahahaha, Halafu nashangaaa anaenda anasema corona kweli ipo halafu anasema vipimo ni vya uongo watu waliokuwa wanapima wachunguzwe yani mmmmh simwelewi

Sent using Jamii Forums mobile app
Na ndio maana kamteua Mwigulu nchemba, kuanzia Leo usitegemee kusikia wagonjwa wapya au waliofariki na covid-19

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teknolojia bila akili Ni ujinga mtupu
Wao wametupa teknolojia ya kupiga corona Raisi ka challenge hiyo.teknolojia sababu ana akili
our president ni kipanga asee naona hii itawazindua mataifa mengine wajipange
 
Back
Top Bottom