Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Vipi kuhusu wananchi wa kawaida, ambao sio "femasi"Toka juzi hakuna kigogo aliyekufa, Mheshimiwa raisi anaweza kuwa sawa sometimes
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi kuhusu wananchi wa kawaida, ambao sio "femasi"Toka juzi hakuna kigogo aliyekufa, Mheshimiwa raisi anaweza kuwa sawa sometimes
Sent using Jamii Forums mobile app
Andika vizuri mkuu ili ufahamikeNashangaa anawalaumu waliokuwa wanapima kule maabara ya kitaifa kuwa wanamhujumu, kwa kutoa matokeo positive Ya corona, anadai kuwa walionekana ni positive ni uongo, eti alipeleka sample Ya Mbuzi, papai, na vitunguu eti wale watu Wa maaabara ya taifa walimuhujumu, eti na hizo sample hao wa maaabara Walisema ni positive aiseee anaone kuwa hakuna corona anasema hata ligi ya mpira atairuhusu iendelee aisee huyu mzeee akishindwa Jambo anasingizia mabeberu na kuwa anazungukwa, yani hahahahaha, Halafu nashangaaa anaenda anasema corona kweli ipo halafu anasema vipimo ni vya uongo watu waliokuwa wanapima wachunguzwe yani mmmmh simwelewi
Sent using Jamii Forums mobile app
Self denial!
Corona isingekwepo asingejificha hukoNashangaa anawalaumu waliokuwa wanapima kule maabara ya kitaifa kuwa wanamhujumu, kwa kutoa matokeo positive Ya corona, anadai kuwa walionekana ni positive ni uongo, eti alipeleka sample Ya Mbuzi, papai, na vitunguu eti wale watu Wa maaabara ya taifa walimuhujumu, eti na hizo sample hao wa maaabara Walisema ni positive aiseee anaone kuwa hakuna corona anasema hata ligi ya mpira atairuhusu iendelee aisee huyu mzeee akishindwa Jambo anasingizia mabeberu na kuwa anazungukwa, yani hahahahaha, Halafu nashangaaa anaenda anasema corona kweli ipo halafu anasema vipimo ni vya uongo watu waliokuwa wanapima wachunguzwe yani mmmmh simwelewi
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sana, nimekusoma vema.Muongozo unasemaje kuhusiana na hizi kits za kupimia Covid19 hasa pale zinapotumika kupima sampuli ambayo siyo ya binadamu?
Mimi sijui ni sample ipi wanayopima, ila nilikuwa namjibu jamaa aliehoji kwani papai na fenesi zinadamu kiasi cha hao wa maabara kutokugundua?
AISEE HADI PAPAI LINAPIMWA???BADALA WABORESHE VIPIMO VYA RAIA WAO WANAPIMA KONDOO
Magufuli atunukiwr tuzo ya Sayansi ya Nobel kagunflfua kiti ambacho hata wanasayansi wanchi zilizoendelea hawajagunduaJpm yupo right, corona ni ujinga tu wameoleta wazingu
Vipimo havieleweki,
Sent using Jamii Forums mobile app
Madhara ya kuonja bangi uzeeni yanaligharimu taifaNashangaa anawalaumu waliokuwa wanapima kule maabara ya kitaifa kuwa wanamhujumu, kwa kutoa matokeo positive Ya corona, anadai kuwa walionekana ni positive ni uongo, eti alipeleka sample Ya Mbuzi, papai, na vitunguu eti wale watu Wa maaabara ya taifa walimuhujumu, eti na hizo sample hao wa maaabara Walisema ni positive aiseee anaone kuwa hakuna corona anasema hata ligi ya mpira atairuhusu iendelee aisee huyu mzeee akishindwa Jambo anasingizia mabeberu na kuwa anazungukwa, yani hahahahaha, Halafu nashangaaa anaenda anasema corona kweli ipo halafu anasema vipimo ni vya uongo watu waliokuwa wanapima wachunguzwe yani mmmmh simwelewi
Sent using Jamii Forums mobile app