issa yurry
JF-Expert Member
- Apr 20, 2014
- 626
- 818
Kwahiyo watu milioni 57 Tanzania mzima umemuelewa ww pekeyakoWatu wengi hawajaelewa hii kitu kabisa mkuu.
Ni kwamba TISS walichukua sample ya kamasi za mbuzi, sample ya ute ute wa papai, alafu wakapeleka maabara DSM.
Zote hizo zikakutwa zina corona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app