Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Acha kukariri nani kakuambia sampuli ya kupima covid 19 ni damu?

Sampuli inayotumika ni nasal swabs na si damu, ambapo majimaji huchukuliwa katika pua za mnyama kwa kutumia kitu kama pamba na kisha hupelekwa maabara kuchunguzwa kwa kutumia PCR...

Watanzania embu tujifunze ku reason kabla ya kuchangia mada, pia niwaase vijana tumieni muda wetu wa akiba kujifunza vitu vipya ambavyo vitawaongezea kitu katika bongo zenu...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unadhani watu waliozoea kusiliza nyimbo za mipasho na magazeti ya udaku kila saa wana uwezo wa kufuatilia mambo na kuanalyze? UMEBEA NA USHABIKI WA KISIASA NDIYO USIO NA TIJA NDIYO UMETAMALAKI HAPA TZ!
 
Jiwe akiongea maneno kumi unakuta moja tu ndio la kweli...
Zamani... siku hz hata hilo 1 hakuna!
Jiwe akiongea maneno kumi unakuta moja tu ndio la kweli, angekuwa kama anavyosema corona ni ugonjwa mdogo angekuja zake dodoma aendelee kuchapa kazi.

Kwamba unapima mananasi wakati watu wanalalamika vipo havitoshi sababu maabara ni moja watu wapo Arusha wanatuma sumpuri Dar halafu wewe unaweka jam kupima mananasi!

Ni upumbavu, narudia tena ni upumbavu kuapisha waziri kwenye makazi binafsi ya Rais wakati Ikulu ipo Geita, Mwanza.

Taasisi ya urais sio mali ya mtu binafsi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jenga hoja acha kutisha watu

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo lako umesoma post yangu ukiwa na mtizamo fulani dhidi yangu.
Hivi unaona alicho andika mdau ncho alichosema Magufuli kwa usahihi kabisa?

Nimempa mbinu ya kuandika kwa kuepuka mkono wa sheria huko kwenye platform zingine ambazo siyo salama kwake, sijamtisha.
 
Mkuu andika habari kwa kumnukuu kama alivyosema.
Ulichofanya hapa ni kupotosha mengi kwa kujaribu kutafsiri alichosema.
Angalia unaweza kujikuta matatizoni ikitokea ukaandika hivi sehemu nyingine ambazo wanaweza kukupata.

Hapa kwa uandishi kama huu hauchomoki ukifikishwa kwenye mahakama yoyote ya kisheria duniani.
Nakushauri mnukuu neno kwa neno na siyo hivi.
Huna hoja weye, ila bk 7 utalipwa mara H.Polepole akirudi toka mafichoni.
 
Viongozi wetu, wa kisiasa pamoja na hao wa Usalama wanaoelekea kuaminiwa sana wakati huu, Inaonekana hawana taarifa zote kuhusu Virus wa Corona..

Tumeambiwa na wataalam kuwa asili ya kirusi Huyu ni wanyama, na hata WHO Mwanzo hawakuamini kuwa kulikuwa na maambukizi miongozi mwa wanadamu(human to human transmission), bali kulikuwa na maambukizi kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu..

Sasa kama ndivyo, Kuna Ajabu gani Rais kushangaa Mbuzi na Sungura kutest positive?
 
Dalili za mtu aliyechanganyikiwa na kukata tamaa ni hizi
kutokuwa consistency
kushindwa kukumbuka aliyosema
•corona hakuna tunatishana
•ligi iendelee tu
•huku shule umefunga
•natuma ndege ikalete dawa za corona Madagascar- sasa hakuna corona, halafu dawa za kumtibu mamako au?
 
Viongozi wetu, wa kisiasa pamoja na hao wa Usalama wanaoelekea kuaminiwa sana wakati huu, Inaonekana hawana taarifa zote kuhusu Virus wa Corona..

Tumeambiwa na wataalam kuwa asili ya kirusi Huyu ni wanyama, na hata WHO Mwanzo hawakuamini kuwa kulikuwa na maambukizi miongozi mwa wanadamu(human to human transmission), bali kulikuwa na maambukizi kutoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu..

Sasa kama ndivyo, Kuna Ajabu gani Rais kushangaa Mbuzi na Sungura kutest positive?
Utafiti ulishaonyesha kwamba hata wanyama wanaambukizwa Corona. Marekani wali report kwamba Chui-milia Tiger mwenye umri wa miaka minne alikutwa na CIVID-19 wakati ufaransa nao wali report kumkuta swala ameambukizwa Corona
 
mzigo wetu ni safi yani. kumbe nyama ya mbuzi si salama tena.

mambo ya gauti tena sisi basi.

samahanini maustaaz sina nia ya kuwaidhi. narejelea hotuba ya chato.
 
Sample kwa ajili ya kipimo cha Corona inapatikana kwa kufanya nasal swab, kwa lugha rahisi sample ni mucus. Sio damu.

Kipimo cha damu kwa Corona sio kizuri kwa sababu mtu anaweza kukutwa na Corona virus antibodies lakini alishapona ugonjwa.

Tusisitize kwa wasiofahamu, serological test for coronavirus antibodies hawafanyi kwenye nchi nyingi. Ni US na nchi nyingine chache ndio wameanza kupima watu ambao hata sio wagonjwa kujua kama miili ya watu hao waliwahi kuambukizwa Corona kwa kuangalia kama wana antibodies za Coronavirus.

Sasa embu tuwe thoughtful kidogo. Hivi kwenye papai walipima nini? Ni ile juisi ya papai au utovu? Je na kwenye oil ya gari walipima nini? Mafenesi?
Yaani kweli, lab technicians,tena tunaambiwa wako wanane tu wenye utaalamu wa kuchakata kipimo cha Corona wasiweze kugundua kuwa hii ni oil na sio nasal secretions!
Halafu tunaambiwa kipimo hicho ni gharama, wapimaji wako nane tu na maabara ni moja tu nchi nzima. Hivi hapakuwa na namna nyingine bora ya quality control / check zaidi ya kuwatumia watu sample za mapapai na mafenesi?
 
Hoja hujibiwa kwa hoja inawezekana kuna ukweli lakini anasema nini kuhusu hivi vifo vinavyoendelea
 
Back
Top Bottom