Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

kuwaamini wanasiasa nako ni kazi Sana sasa anatuminisha kuwa maabara ya Taifa hamna kitu sasa hizo sample zingine zinatumwa za nini na wapi mbona zipo self kit hapa ukiweka mapapai utapata majibu yake hii hapana sijui nani kashika kete ya kumdanganya kiongozi wetu nae anatoka na kete mbovu kila kukicha...
 
Kuona Kiongozi Moja Moja Alisema Wataalam WaPo Wengi
Hasa Wenye PhD Hapo Nadhani
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
Anatakiwa Afanye Mabadiliko
Kuna Watu Walisema Shida Yaweza Kuwa Hawajui Kutumia Mtambo
Ama Vinginevyo
 
Serikali inachanganya sana wananchi....hawa wanasema hivi, Raisi anasema hivi, maabara hiyo ni ya serikali lakini bado wanapashana....Hii serikali ina nn lkn?Mbona ni mparanganyiko...
Magu ndo anavuruga kabisa..kama vipi atangaze Tz haina Corona watu watudi mtaani bila taadhari yoyote....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nashangaa anawalaumu waliokuwa wanapima kule maabara ya kitaifa kuwa wanamhujumu, kwa kutoa matokeo positive Ya corona, anadai kuwa walionekana ni positive ni uongo, eti alipeleka sample Ya Mbuzi, papai, na vitunguu eti wale watu Wa maaabara ya taifa walimuhujumu, eti na hizo sample hao wa maaabara Walisema ni positive aiseee anaone kuwa hakuna corona anasema hata ligi ya mpira atairuhusu iendelee aisee huyu mzeee akishindwa Jambo anasingizia mabeberu na kuwa anazungukwa, yani hahahahaha, Halafu nashangaaa anaenda anasema corona kweli ipo halafu anasema vipimo ni vya uongo watu waliokuwa wanapima wachunguzwe yani mmmmh simwelewi

Sent using Jamii Forums mobile app
Andika vizuri mkuu ili ufahamike
 
Adjustments.jpg

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
Jina la papai lina ukakasisi "Elizabeth Anne" Kuna kitu hakipo sawa hapo
 
Nashangaa anawalaumu waliokuwa wanapima kule maabara ya kitaifa kuwa wanamhujumu, kwa kutoa matokeo positive Ya corona, anadai kuwa walionekana ni positive ni uongo, eti alipeleka sample Ya Mbuzi, papai, na vitunguu eti wale watu Wa maaabara ya taifa walimuhujumu, eti na hizo sample hao wa maaabara Walisema ni positive aiseee anaone kuwa hakuna corona anasema hata ligi ya mpira atairuhusu iendelee aisee huyu mzeee akishindwa Jambo anasingizia mabeberu na kuwa anazungukwa, yani hahahahaha, Halafu nashangaaa anaenda anasema corona kweli ipo halafu anasema vipimo ni vya uongo watu waliokuwa wanapima wachunguzwe yani mmmmh simwelewi

Sent using Jamii Forums mobile app
Corona isingekwepo asingejificha huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mmepewa test kit fake .....hilo sio kumlaumu mkuu wa maabara .....agizeni test kit mpya toka ulaya .....za bure zote fake
 
Jpm yupo right, corona ni ujinga tu wameoleta wazingu

Vipimo havieleweki,

Sent using Jamii Forums mobile app
Magufuli atunukiwr tuzo ya Sayansi ya Nobel kagunflfua kiti ambacho hata wanasayansi wanchi zilizoendelea hawajagundua

Hii theory yake Ni Kali Ni inatoa changamoto kwa wanayansi na wataalamu wa maabara duniani

Kwa hiki alichogunfua anadtahilo.kupewa pia PHD ingine ya pili toka best University duniani
 
Nashangaa anawalaumu waliokuwa wanapima kule maabara ya kitaifa kuwa wanamhujumu, kwa kutoa matokeo positive Ya corona, anadai kuwa walionekana ni positive ni uongo, eti alipeleka sample Ya Mbuzi, papai, na vitunguu eti wale watu Wa maaabara ya taifa walimuhujumu, eti na hizo sample hao wa maaabara Walisema ni positive aiseee anaone kuwa hakuna corona anasema hata ligi ya mpira atairuhusu iendelee aisee huyu mzeee akishindwa Jambo anasingizia mabeberu na kuwa anazungukwa, yani hahahahaha, Halafu nashangaaa anaenda anasema corona kweli ipo halafu anasema vipimo ni vya uongo watu waliokuwa wanapima wachunguzwe yani mmmmh simwelewi

Sent using Jamii Forums mobile app
Madhara ya kuonja bangi uzeeni yanaligharimu taifa

kush and Wisdom
 
Back
Top Bottom