Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Mkuu huyu rais wetu hata sijui Kama anajua anachokifanya? Wewe hushangai anavyoimba watanzania tusitiwe hofu wakati huo huo amejifungia ndani as if yupo matenity leave
 
Kuna baadhi ya watu mnapenda kusikia habari mbaya tu kuhusu corona.

Mkisikia corona imeua watu sabini kwa mpigo basi roho zenu kwatu!

Hakuna cha corona. Watu wafanye kazi na maisha yaendelee.

Ujuaji tu!



Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaomba mkulu aje Dar au Dom tupige kazi. Kuna viwanda vya kumwaga vya kuzindua


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli machine ya kupimia sample za binadamu unapeleka mapapai halafu unategemea matokeo sahihi?

tuna vichaa wengi mitaani.

characteristics katika sample za binadamu ambazo machine inazipima lazima zijulikane. Wewe ukipeleka takataka utapata majibu takataka.
 
Raisi Ni original thinker sio sawa na chadema ambao huwa hawana Chao original husubiria Magufuli aongee ndipo wao wadakie!!!!
Nimesikia Kama anataka kuagiza dawa Madagascar,je nyungu na maombi ya original thinker vimebuma?
 
nmekuuliza swali umejibu essay ndefu kinoma [emoji23]

kuna kipindi ulkua unashangilia madudu yake ambayo sisi tuliona sio sawa na wewe uliona sawa

hata mimi sina chama hao wenzake ufipa nawaponda sana wanapokosea
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mh. Ameeleza vyema
Sas kama ulpmwa ukaambiwa uko positive then ukapelekwa labda amana walpo wagonjwa halisi ukambukzwa ukaanza kuumwa rasmi sasa
Hapo utajuaje sasa...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi umesetiwa kama robot? Nimekuuliza huu utafiti kaufanyia kwenye maabara gani?
Napenda nikifanya argument kama kuna swali unajibu then tunaendelea ndio vizuri.

Kuniita nimesetiwa kama robot kisa tu sikubaliani na hoja zako sio vizuri, je wewe umesetiwa na robot pia?

Kafanya maabara ya taifa
 
Hivi kweli kuna mtu amekosa cha kufanya kabisa akaamua kufanya hayo mambo.
Yaani mtu anakimbizana na mbuzi, kondoo na sungura na kuwafanyia nasal swab.

Halafu anaona haitoshi, anafukuza ndege kware mpaka anamdaka, anampanua mdomo na kumwingizia kile kijiti chenye pamba kupata sample.

Mtu huyo huyo anakwenda sokoni ananunua mapapai na mafenesi na yenyewe anayafanyia nasal swab.

Samples zote hizi hazitoshi! Anachukua na oil ya gari.
Halafu huu uchafu wote unakusanywa na kupelekwa maabara ya taifa kwa vipimo.

Kama taifa tunasikitisha sana.
 
Ubaya ni kuwa hawawezi kujitetea, na aliyeyasema hayo alijua kuwa hawawezi kujitetea, very sad.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nmekuuliza swali umejibu essay ndefu kinoma [emoji23]

kuna kipindi ulkua unashangilia madudu yake ambayo sisi tuliona sio sawa na wewe uliona sawa

hata mimi sina chama hao wenzake ufipa nawaponda sana wanapokosea

Sent using Jamii Forums mobile app
Unaweza kuona umeniuliza jambo dogo lakini bila kukufafanulia kwenye nchi iliyojaa ushabiki mbuzi namna hii nina uhakika hutaelewa. Kama madudu gani aliyofanya nikashangilia? Be specific!
 
Kumuapisha Waziri hakiwa Chato siyo kufanya kazi!? Mkoje ninyi! Kwa nini mnatulazimisha kuwaita majina yasiyofaa!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…