Sijijui
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 7,877
- 8,804
Mkuu huyu rais wetu hata sijui Kama anajua anachokifanya? Wewe hushangai anavyoimba watanzania tusitiwe hofu wakati huo huo amejifungia ndani as if yupo matenity leaveZilizonunuliwa na nani ?
Kama vifaa tiba ni feki siyo kosa la wagonjwa na wananchi ni kosa la serikali yake.
Kama wataalamu hawana uwezo wa kupima still kosa ni la serikali yake tu.
Alichokifanya jamaa ni sawa na kujisafisha mavi kwa kutumia kinyesi cha chooni.
Sent using Jamii Forums mobile app