Hawawezi kujitetea for obvious reasons, na Magu aliyasema haya akijua fika kuwa hawawezi kujiteteaNdugu zangu lazima tuwe na uhakika na vitu tunavyofanya.
Huwezi ukasema papai linakorona.
Wakati si kweli.
Huu ni mtihani maabara ya taifa wamepewa na wamefeli.
Hawata aminika tena.
Allah kariim
Sample za kupima KORONA siyo Lazima kuchukua damu. So Hilo lieleweke kwanzaKumbe maabara za Tanzania unaweza peleka mafenesi ukawadanganya ni sample ya damu wakakubali.
Unajua maana ya "Ikulu"?Nyumbani kwa Rais??
Inaonekana wewe ni msoma magazeti kwa kugeuza. Rudi kasikilize tena kama kunapahala kataja hayo mafenesi na mbuzi sijui akiwa mzima au nyama ilipekekwa maabara ya Taifa.Napenda nikifanya argument kama kuna swali unajibu then tunaendelea ndio vizuri.
Kuniita nimesetiwa kama robot kisa tu sikubaliani na hoja zako sio vizuri, je wewe umesetiwa na robot pia?
Kafanya maabara ya taifa
Makazi Rasmi ya Rais!!Unajua maana ya "Ikulu"?
Good!Makazi Rasmi ya Rais!!
Andika kwa Kiswahili ndiyo nitakuelewa!!Good!
OK!Andika kwa Kiswahili ndiyo nitakuelewa!!
Kwahiyo walipopeleka mafenesi yalitambuliwa ni sample gani kutoka mwilini. Ni kamasi, makohozi, machozi, choo, mkojo au kitu gani hasa.Sample za kupima KORONA siyo Lazima kuchukua damu. So Hilo lieleweke kwanza
Watu wa Chato mna mbwembwe sana!!
Oh!Watu wa Chato mna mbwembwe sana!!