Hawawezi kujitetea for obvious reasons, na Magu aliyasema haya akijua fika kuwa hawawezi kujiteteaNdugu zangu lazima tuwe na uhakika na vitu tunavyofanya.
Huwezi ukasema papai linakorona.
Wakati si kweli.
Huu ni mtihani maabara ya taifa wamepewa na wamefeli.
Hawata aminika tena.
Allah kariim
Sent using Jamii Forums mobile app