Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Ndugu zangu lazima tuwe na uhakika na vitu tunavyofanya.
Huwezi ukasema papai linakorona.
Wakati si kweli.
Huu ni mtihani maabara ya taifa wamepewa na wamefeli.
Hawata aminika tena.

Allah kariim
Hawawezi kujitetea for obvious reasons, na Magu aliyasema haya akijua fika kuwa hawawezi kujitetea


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwakweli niseme tu kama alichosema Raisi ni kweli basi tuko katika wakati Mgumu sana na tutaangamia kwelikweli. kwanini? Kwasababu.....

Moja: inamaana kuna watu wanapimwa na kukutwa negative kutokana na ufeki wa vipimo hivyo huruhusiwa kurudi na kujichanganya mtaani kumbe ni wagonjwa!!!!! Jamani tutapataje kupna hapa?. Mungu tusaidie inamaana wagonjwa na wazima wote wako mtaani...ndio..sasa kama kipomo kinapima Papai na kutoa majibu unategemea nini??

Mbili: Inamaana vipimo na maabara zetu na wataalamu wake si wakuwaamini sasa tukijisikia tuna dalili tutakimbilia wapi? Si ndo tutajifukiza tukidhani ni Corona kumbe tunakufa kwa magonjwa mengine!!!!looo.. Mungu tusaidie..kama Raisi alifikiri kwa kusema hivi atawafanya Watanzania waipuuze Corona..ndo katuvuruga akili kabisa

Tatu...biashara ya Mbuzi na Mapapai itakua katika wakati Mgumu sana..niambi kwanini?
 
Napenda nikifanya argument kama kuna swali unajibu then tunaendelea ndio vizuri.

Kuniita nimesetiwa kama robot kisa tu sikubaliani na hoja zako sio vizuri, je wewe umesetiwa na robot pia?

Kafanya maabara ya taifa
Inaonekana wewe ni msoma magazeti kwa kugeuza. Rudi kasikilize tena kama kunapahala kataja hayo mafenesi na mbuzi sijui akiwa mzima au nyama ilipekekwa maabara ya Taifa.
 
Maana yake maambukizi ni makubwa sana mpaka yanatapakaa kwa mifugo, nadhani hata kuku,bata,njiwa na ngombe wameathirika
 
Hata mimea huugua magonjwa ya virusi.....So alichosema Rais ni kutokuwa makin kwa wapimaji au vifaa vinakasoro....Usitie shaka korona haiambukizi mimea ila baadhi ya wanyama wanaambukizwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unasubiri nini Sasa piga nyungu mkuu usilaze damu😅
 
Sample za kupima KORONA siyo Lazima kuchukua damu. So Hilo lieleweke kwanza
Kwahiyo walipopeleka mafenesi yalitambuliwa ni sample gani kutoka mwilini. Ni kamasi, makohozi, machozi, choo, mkojo au kitu gani hasa.
Siku nyingine utawapa vipande vya mbao uwaambie ni sample za mifupa na wakubali.
 
Rais Magufuli kasema wamepima sampuli mbalimbali za wanyama na hata papai, na kukuta baadhi yao na Korona na papai kuonyesha complication results. Walifanya hivyo bila ya kuileza maabara ni sampuli za nini, ila walizipa majina ya watu na umri wa uongo. Akasema hii inamaa tusiamini vifaa vya vipimo, mie nafikiri ni sawa, hata Ulaya na Marekani siajabu walipata fake results za positive na kuwaweka watu kwenye karantini ya wagonjwa na kuambukizwa hapo wakati walikuwa wazima.
 
Tutaaminije kama hayo ni ya kweli?

Je tatizo ni test kits ama utaalamu wa upimaji?

Maswali ni mengi kuliko majibu
 
Magu Yuko hapo si bahati mbaya, alijiaandaa, aliijiua michezo michafu, iwe ya Nje ama ndani na anajua kucheza nayo,

Bahati mbaya tu kwamba, Nchi anayoiongoza raia wake wengi ni Masikini,
Mungu Ibariki Tanzania na Mungu Ibariki Africa
 
Back
Top Bottom