Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Hili lililofanywa na maabara hii ya kupima korona ni uhujumu uchumi,wasakwe popote pale walipo, wawekwe ndani,wahojiwe, kisha wafikishwe mahakamani.

Wao pamoja na walioagiza mitambo hiyo na kuitia hasara serikali
 
Upotoshaji wake ni nini? Kutokuwa na imani na hospitali zetu hata huku vijijini kwenye zahanati tunafanya. Unaweza peleka kakipande cha boga ukaambiwa kana minyoo ya (safula) wakati umekapakua kutoa jikoni. Sasa katika mazingira kama hayo ukimwambia jirani au mgonjwa aliyepima jana yake matokeo aliyopewa ni uwongo ni upotoshaji?
 
Mmmh, huyu mzee ana uhakika lakini? Mbona hatujasikia sehemu nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Kampuni iliyotengeneza hizi kits wanaweza kutushitaki kama tukishidwa ku prove kwamba Oil ya gari ina Corona... Mbuzi pia ana Corona...

Hizi ni tuhuma nzito...na zinakwenda kwenye sheria za kibiashara za kimataifa.
 
Kumbe maabara za Tanzania unaweza peleka mafenesi ukawadanganya ni sample ya damu wakakubali.
Kashatuona mataahira, na haya ni matokeo ya makosa yanayofanyika wakati wa uchaguzi. Watz tumelogwa tukalogeka..
 
I don't believe him.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raisi wetu aitwe proffesor kavumbua utafiti mpya




Ali sikika mbuge mmoja aki vizia uwaziri
 
Tutaaminije kama hayo ni ya kweli?

Je tatizo ni test kits ama utaalamu wa upimaji?

Maswali ni mengi kuliko majibu
Naongezea swali: Je WHO wakiifungia hiyo maabara kuu watakuwa wamefanya kosa?
 
I don't believe him, i just don't!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…