Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upotoshaji wake ni nini? Kutokuwa na imani na hospitali zetu hata huku vijijini kwenye zahanati tunafanya. Unaweza peleka kakipande cha boga ukaambiwa kana minyoo ya (safula) wakati umekapakua kutoa jikoni. Sasa katika mazingira kama hayo ukimwambia jirani au mgonjwa aliyepima jana yake matokeo aliyopewa ni uwongo ni upotoshaji?In fact wewe
in fact bila kupepesa wewe ndie mwongo unaepotosha umma kwa ambao hawajamsikiliza.
Ulichokiandika si alichozungumza, ni tafsiri yako kwa uelewa wako.
next time unapoandika tafadhali andika kama kilivyozungumzwa na si kutafsiri watu wajadili tafsiri yako, huu ndio ule unaoitwa upotoshaji
Kampuni iliyotengeneza hizi kits wanaweza kutushitaki kama tukishidwa ku prove kwamba Oil ya gari ina Corona... Mbuzi pia ana Corona...Mmmh, huyu mzee ana uhakika lakini? Mbona hatujasikia sehemu nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
Kashatuona mataahira, na haya ni matokeo ya makosa yanayofanyika wakati wa uchaguzi. Watz tumelogwa tukalogeka..Kumbe maabara za Tanzania unaweza peleka mafenesi ukawadanganya ni sample ya damu wakakubali.
Marekani walipima Simba na TIger na kuwakuta nayo.Mmmh, huyu mzee ana uhakika lakini? Mbona hatujasikia sehemu nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app
I don't believe him."Either vipimo Ni defective au wataalamu hawana uzoefu ama Kuna uzembe.
Hili la vipimo kuwa defective limetokea nchi mbalimbali na Kuna vipimo ilibidi viwekwe pembeni,
Kwahiyo mheshimiwa Yuko sawa kabisa watu tu ndo wazito kuadopt ukweli,
Hajasema korona haipo"
Wewe hebu soma maelezo ya kitabibu acha kuwashwa washwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaozikwa ni watu ambao wamefariki, sasa wote wamekufa na nini, hiyo ni hoja nyingine,Hata wanaozikwa ni mbwa na paka sio watu, nyie mbona wagumu kuelewa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na sio yeye kurudi, halafu wachezaji wa kimataifa watakuja? Maana kila mtu anajua Tz ipoje sasa.
Naongezea swali: Je WHO wakiifungia hiyo maabara kuu watakuwa wamefanya kosa?Tutaaminije kama hayo ni ya kweli?
Je tatizo ni test kits ama utaalamu wa upimaji?
Maswali ni mengi kuliko majibu
Akapimwe akili huyu mtu
Mkuu, sample ya kupima covid ni damu? Unaweza kumuona JPM hana hoja kumbe wewe ndio hujui kitu.Sasa mapapai unapeleka sample gani. Au mapapai yana damu?
Unajuaje kama wamefanya sampling zaidi ya moja?Je sampling moja inatosha kukupa majibu sahihi?
Jr[emoji769]
I don't believe him, i just don't!Tatizo la watanzania au Africa tunapenda kupinga kila kitu tunapenda kumyattack mtu kuliko kitu " hicho alichosema president na watu wa usalama n mtihan kwa watu wa maabara aliowapa ili kujua n kweli au lah na hii ndo tabia yake ya kufanya personal investigation bila kujua rejea alipokuwa waziri jinsi alivyokuwa anawatokea watu wa mizani au Kule kwenye barabara jinsi alivyokuwa anakusanya taarifa halisi na kuja kuwasuprise wahusika"
Njoo kwenye swala la kumuondoa mganga mkuu wa serikali pia yule mama aliemtibu DODOMA baada ya kupewa sumu kamtoa katibu afya na kumpeleka sijui wap huko na Kama anavyosemaga ukiona amekubadilisha position kipindi muda huo ofisi yako ndo inakuhitaj Basi ujue Kuna shida pahala.
Mie napambana na maneno ya JPM inawezekana Kuna watu wameamua kuizoea Kaz Yan wanarahisisha Mambo muda uende, sikatai hili tatizo Kama halipo lakin mamlaka za vipimo huenda hazipo makini kwa watumushi/vifaa kulingana na maelezo ya JPM.
Tujifunze kuattack sms nasio mtu binafsi " Jilinde uwalinde wengine Chukua tahadhari kwa umakini uwe salama.