Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Rais Magufuli: Maabara Kuu ya kupima sampuli za COVID-19 yaonyesha mafenesi, mapapai na mbuzi yana uambukizi

Hili lililofanywa na maabara hii ya kupima korona ni uhujumu uchumi,wasakwe popote pale walipo, wawekwe ndani,wahojiwe, kisha wafikishwe mahakamani.

Wao pamoja na walioagiza mitambo hiyo na kuitia hasara serikali
 
In fact wewe

in fact bila kupepesa wewe ndie mwongo unaepotosha umma kwa ambao hawajamsikiliza.
Ulichokiandika si alichozungumza, ni tafsiri yako kwa uelewa wako.
next time unapoandika tafadhali andika kama kilivyozungumzwa na si kutafsiri watu wajadili tafsiri yako, huu ndio ule unaoitwa upotoshaji
Upotoshaji wake ni nini? Kutokuwa na imani na hospitali zetu hata huku vijijini kwenye zahanati tunafanya. Unaweza peleka kakipande cha boga ukaambiwa kana minyoo ya (safula) wakati umekapakua kutoa jikoni. Sasa katika mazingira kama hayo ukimwambia jirani au mgonjwa aliyepima jana yake matokeo aliyopewa ni uwongo ni upotoshaji?
 
Mmmh, huyu mzee ana uhakika lakini? Mbona hatujasikia sehemu nyingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Kampuni iliyotengeneza hizi kits wanaweza kutushitaki kama tukishidwa ku prove kwamba Oil ya gari ina Corona... Mbuzi pia ana Corona...

Hizi ni tuhuma nzito...na zinakwenda kwenye sheria za kibiashara za kimataifa.
 
Kumbe maabara za Tanzania unaweza peleka mafenesi ukawadanganya ni sample ya damu wakakubali.
Kashatuona mataahira, na haya ni matokeo ya makosa yanayofanyika wakati wa uchaguzi. Watz tumelogwa tukalogeka..
 
"Either vipimo Ni defective au wataalamu hawana uzoefu ama Kuna uzembe.
Hili la vipimo kuwa defective limetokea nchi mbalimbali na Kuna vipimo ilibidi viwekwe pembeni,
Kwahiyo mheshimiwa Yuko sawa kabisa watu tu ndo wazito kuadopt ukweli,
Hajasema korona haipo"


Wewe hebu soma maelezo ya kitabibu acha kuwashwa washwa

Sent using Jamii Forums mobile app
I don't believe him.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Raisi wetu aitwe proffesor kavumbua utafiti mpya




Ali sikika mbuge mmoja aki vizia uwaziri
 
Tutaaminije kama hayo ni ya kweli?

Je tatizo ni test kits ama utaalamu wa upimaji?

Maswali ni mengi kuliko majibu
Naongezea swali: Je WHO wakiifungia hiyo maabara kuu watakuwa wamefanya kosa?
 
Namkumbuka sana January Makamba
EXFPW5uWsAAqY5T.jpg
 
Tatizo la watanzania au Africa tunapenda kupinga kila kitu tunapenda kumyattack mtu kuliko kitu " hicho alichosema president na watu wa usalama n mtihan kwa watu wa maabara aliowapa ili kujua n kweli au lah na hii ndo tabia yake ya kufanya personal investigation bila kujua rejea alipokuwa waziri jinsi alivyokuwa anawatokea watu wa mizani au Kule kwenye barabara jinsi alivyokuwa anakusanya taarifa halisi na kuja kuwasuprise wahusika"

Njoo kwenye swala la kumuondoa mganga mkuu wa serikali pia yule mama aliemtibu DODOMA baada ya kupewa sumu kamtoa katibu afya na kumpeleka sijui wap huko na Kama anavyosemaga ukiona amekubadilisha position kipindi muda huo ofisi yako ndo inakuhitaj Basi ujue Kuna shida pahala.

Mie napambana na maneno ya JPM inawezekana Kuna watu wameamua kuizoea Kaz Yan wanarahisisha Mambo muda uende, sikatai hili tatizo Kama halipo lakin mamlaka za vipimo huenda hazipo makini kwa watumushi/vifaa kulingana na maelezo ya JPM.

Tujifunze kuattack sms nasio mtu binafsi " Jilinde uwalinde wengine Chukua tahadhari kwa umakini uwe salama.
I don't believe him, i just don't!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom