Halaiser
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 4,230
- 6,653
Kama ndivyo unavyoamini ni nini kilichomkimbiza Ikulu zote mbili na kwenda kujichimbia huko aliko?? Pili kuna sababu gani ya kukimbilia kufanya teuzi wakati Wasaidizi wake Wakuu wako Msibani?? Wizara si ina Naibu Waziri?? Mambo mengine siyo ya kuyatetea Mkuu.Watu wengi hawajaelewa hii kitu kabisa mkuu.
Ni kwamba TISS walichukua sample ya kamasi za mbuzi, sample ya ute ute wa papai, alafu wakapeleka maabara DSM.
Zote hizo zikakutwa zina corona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app